Hii huwa inachukua muda mrefu sana kupokea fedha kwa sababu wanafanya wire transfer au swift hivi (sina uhakika) pia gharama sio rafiki na upokea fedha hasa kiasi kikubwa kuna paperwork nyingi.
Lakini paypal huwezi ku withdraw hapa Bongo ni kusend tu. Lakini pia Mpesa mastercard huwezi pokea pesa au wewe ulishawahi kupokea fedha kwa kwenye kadi moja kwa moja ya mastercard?
Nimekuwa napata shida sana kupata njia nzuri ya kutuma na kupokea fedha kutoka nje ya Tanzania. Kwa muda mrefu nimekuwa natumia Western Union na MoneyGram kwa sababu ni njia za uhakika na naweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa. Ila njia hizi zina changamoto zake ambazo zinanifanya niendelee...
Duu jamaa umenikumbusha mbali wewe na hii Archmedes principle 😂. Ila sidhani kama kucopy bila kuleta tija kwa unaowabunia kuna faida. Huwezi kucopy kisha ukatarajia kufanikiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.