Recent content by Pushdollar

  1. Pushdollar

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

    Wambie wauzaji walitoboe palepale watoe kakipande kadogo uonje before uondoke nalo ,itakusaidia Kila kitu kunaupande kipo poa upande sio poa, unaangukia upande sio poa tu mkuu
  2. Pushdollar

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye familia tuliyosomeshwa kwa gharama kubwa kumeniathiri kiuchumi, Kupeleka watoto kayumba ni aibu, Napambana kukwepa aibu

    Try to be open minded usitumie nguvu kubwa kubishana kwa mifano na mawazo yawatu yatakayoweza kukupatia idea nzuri nn ufanye Maana at the end of day ni ww na familia yako mkuu na chaguo ni lako ufanyeje Kwa kuleta mada kunakitu umeisi hakiendi sawa sasa acha sindano ziingie ,kupona kwake ukae...
  3. Pushdollar

    JamiiForums Tanzania Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

    Likarango Kama sisi maboy tu hapo inawezekana amekutamani tu so anakua katimiziwa haja hapo
Back
Top Bottom