Recent content by pushap

  1. P

    Ziara ya Rais Magufuli kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba UDSM

    Muda wa kazi LIVE COVERAGE YA NINI
  2. P

    Ziara ya Rais Magufuli kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba UDSM

    Tupo maofisini warekodi watuoneshe usiku, ama wamesahau muda wa KAZI huu.
  3. P

    Symbion Tanzania, TANESCO wabaruzwa kortini wakidaiwa bilioni 560

    Matatizo ya TANESCO sio ya Management ya TANESCO ndugu, wanasiasa kuingiza siasa zao ndio chanzo cha matatizo ta TANESCO, pili mikataba mibovu kama hiyo ndio inaigharimu TANESCO. Hapo swala la bonasi halihusiki hata kidogo sana zaidi wivu wa kike unakusumbua ambao ni ugonjwa mkubwa uliowaingia...
  4. P

    Siasa yaiponza TANESCO, sasa yadaiwa zaidi ya 70 bilioni

    TANESCO kinawataalamu waliobobea na wajuzi wa hali ya juu. Kinacoiangusha TANESCO ni wanasiasa kuingiza siasa katika mambo ya kitaalamu na kiutendaji. Pili ni mikataba mibovu inayopelekea TANESCO kuelemewa na mizigo ya madeni. Tatizo la TANESCO halipo kwa wafanyakazi na watendaji wa TANESCO...
  5. P

    Siasa yaiponza TANESCO, sasa yadaiwa zaidi ya 70 bilioni

    Bonasi za tanesco zinauhusiano gani hapa ama umekurupuka na wivu kwa watendaji wa TANESCO nafikiri wamelielezea vizuri kwenye magazeti ya leo ungesoma kuongeza uelewa, SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKATWA MALIPO YA BONASI KWA WAFANYAKAZI WA TANESCO Shirika la Umeme...
  6. P

    Siasa yaiponza TANESCO, sasa yadaiwa zaidi ya 70 bilioni

    Acha matusi jibu hoja kwa hoja
  7. P

    Siasa yaiponza TANESCO, sasa yadaiwa zaidi ya 70 bilioni

    Kama ulivyokuwa wewe ant TANESCO, Wizara inabidi iache siasa kwenye mambo muhimu
  8. P

    Muhongo anaivuruga TANESCO, Magufuli yuko wapi?

    Hizi ni SIASA gharama ya uzalishaji bado ipo juu, unafahamu mpaka sasa TANESCO inazalisha megawati ngapi? Unafahamu matumizi ya nchi kwa ujumla inahitaji megawati ngapi? SIASA na utalamu vitu viwili tofauti, pengine unatumika KISIASA ama AKILI YAKO inamapungufu katika kufikilia
  9. P

    Muhongo anaivuruga TANESCO, Magufuli yuko wapi?

    Si bule kichwa chako kitakuwa hakifanyi kazi vizuri. Kila huduma ina service charge, watanzania tumekuwa watu wa hajabu sana TATIZO la TANESCO limesababishwa na wanasiasa wenyewe. Mikataba mibovu waliyoingia kwa nini hawataki kuifafanyia review? Ni vipi Capacity charge itasimishwa tusiendelee...
Back
Top Bottom