Recent content by pureman2

  1. P

    JamiiForums Tanzania MREJESHO: Niliomba ushauri juu ya sehemu sahihi ya kutoa fungu la kumi

    Utuoapo sadaka, nia yako hukubaliwa kwanza kuliko wingi au ukubwa wa sadaka. Utoaji ni tendo jema la kiimani na ni ibada. Siku zote ufanyapo ibada hiyo Nia njema ikutangulia na ufanye Kwa moyo wa kupendwa na Mungu atakubariki na kukutakabari.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    Furaha ni hisia nzuri juu ya Jambo au Hali fulani. Furaha ni huja Kwa muda then utoweka. Hi hisia na vile vichocheo vya mwili vinakufanya ujisikie vizuri. Kwenye maisha jambo la mhimu ni amani na sio furaha. Amani ni Hali ya akili kuamini Iko sababu njema ya wewe kuwa vile ulivyo. Kutafuta...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Hakuna watu wa ovyo kama walevi. Maisha ya kushinda unasikiliza miziki ya kilevi na kishetani ndo anaona ni maisha. Akiwa anatazama matako ya akina dada na miguu Yao anaona amefika kabisaa humwambii kitu. Sasa omba apate pesa ya kununua kigari kitachomeezesha kwenda vilabuni ndo najiona maisha...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mfano ukapata shida ya ghafla, una mtu wa kukusaidia kwa haraka?

    Marafiki wakufaao wakati wa dhiki huwa wanaletwa Mungu. Wewe wala unakua huna uhakika nao
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mungu ametupuuza sana watu weusi

    Mjadara umeisha .Uzi ufungwe
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mungu ametupuuza sana watu weusi

    Maneno ya kujifurahisha tu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mungu ametupuuza sana watu weusi

    Kutofikiri kwako tu ndo kunakusumbua. So unataka kuandamana kuwa why Simba ni dominant Kwa wanyama wengi mwituni ? Ukubari tu ukweli ngozi nyeusi ni inferior Kwa light skin
  8. P

    JamiiForums Tanzania KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ofsi nyingi tu zimejaa ujinga kama huo
  9. P

    JamiiForums Tanzania TLS kumsaidia aliyefungwa Miaka 22 kisa nyama ya Swala

    Mahakimu wengine vichwa vyao sijui huwa vina stress gani ? Angekua mzazi wangu nisingemruhusu aniite mtoto wake
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

    Watu wana maana tofauti kuhusu kazi na mifumo ya maisha waliochagua. Jinsi unavyotamani kuendesha maisha Yako is central katika kuhamua ufanye kazi gani na Kwa mfumo gani, kuajiriwa au kujiajiri. Kuna ajira ndugu zangu zinalipa, ukizipata hutotamani kusikia hustle za watu waliojiajiri. Lakini...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

    Ukitaka hiyo maximum production uongeze na maslahi. Ukiongeza maslahi walioajikiwa sio wajinga watapiga kazi mpaka ushangae
  12. P

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

    Kuna maeneo ukipita Dar unasema Hawa wamiliki wa haya majengo na ofsi ni watanzania kweli? Masaki, Oestabey, Mikocheni, Mbezi Beach etc.. utajiri uliowekezwa kwenye maeneo hayo ni mkubwa sana .
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Bila hata kusoma ni kweli. Achilia mbali km 800, hata 250 ni balaaah.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Pengine serikali ya CCM imechanganyikiwa

    Katika hili Gwajma amefeli sana. Aliwaaminisha waumini wake kua amemfuta kabisaa bashite kwenye historia ya siasa za nchi hii. Kumbe ni nabii wa uongo
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona hizi dalili bora usioe kabisa utaendeleza kizazi cha utumwa na umasikini

    Hizi ni stress za maisha zinawasumbua vijana. Dunia haijaanza Leo Ina Karne nyingi sana. Generations nyingi zimepita, maisha hayajawahi kusimama. Na ukweli ni kua generation ya Leo ni Bora sana kuliko iliyopita. Pambana, survive, zalisha wapambanaji wa next generation. Rest assured wanao watakua...
Back
Top Bottom