Kitu pekee kinilichogundua kwa mtoa maada ni kwamba,yeye ni mzalendo wa CCM,sio mtanzania mzalendo na tatizo hili limeathili nchi kwa kiwango kikubwa mno.Wafuasi wa CCM wako tayari kuona raia wanakufa,elimu&uchumi unadorola,ila wao CCM mbele mbele[emoji36][emoji36][emoji36]so hurtful,we must...