Recent content by Pulida

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marufuku ndugu yeyote kutoka Machame kukanyaga kwangu!

    La haula lakwata
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshindwa kutolea tamko matatizo ya Umeme na Maji yanalolikumba Taifa?

    Waziri ndie anaeamuru umeme ukatwe?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba Moshi

    Kipo cha 150 hapa hapa maduka ya chini kwa bi mkubwa kama unaelekea shanti
  4. P

    JamiiForums Tanzania From now onwards, I, DJ. DON NALIMISON deny to marry to Barack Obama daughters coz of internal maturity reasons

    La haula lakwata, ebwana Don kama Don niko mitaa ya Shunu hapa karibu kabisa na Mama la Mama hapa nataka nimwonyeshe meseji zako unazoandika Jamii Forums
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaoa mwanamke mwenye mtoto Ila nitaoa msichana asiye na mtoto. Na huyu Muingereza ndio na muandaa

    Hizi taarifa namfikishia mdogo wako Athanasi aiseee ili aanze kuchukua hatua za kukulinda maana unaelekea kuchanganyikiwa bro......
  6. P

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya funguo niliyoiokota alfajiri ya leo

    Duh
  7. P

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

    Atoboe wali tena. Keshakua Raisi, cheo cha juu kabisa Tanzania
  8. P

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

    Nimeamini watu wana roho mbaya, nyie Sukuma gang tulieni dawa iwaingie. JK yupo sana hata mumwombee kifo. Yaani mtu asiteuliwe kwa sababu ya chuki zenu...., Mbona Mwendazake alikua anatengua watu na hamkuwatetea, acheni vijana waliolelewa na Chama wapewe nafasi na bado wapo wengi watateuliwa...
Back
Top Bottom