For the first time nilipiga ile ya Azam jioni moja hivi nilikuwa nimechoka na nilikuwa na kazi ya kufanya, bwana weeee! ckulala cku mbili mfululizo. Tuwe makini hivi vinywaji vina madhara makubwa
Ilishanikuta hii, mm nilifungua duka sehemu kwa mara ya kwanza na wauzaji wa blue band wakapita nikanunua mzugi wa kutosha pasipokuangalia expiry date yake. Ebwaaana! Baafa ya miezi mitatu kuja kuchungulia kumbe ishaexpai, nilipata hasara kubwa sana. Na hawa wauzaji wakikuona mgeni wanakubambika...
Leo hii na ww unamshauri Membe amsamehe Musiba kweli? Hivi wakati anadhalilisha watu ulikuwa unajickiaje? Mapaka kufikia kuwaita watu mashoga na fedheha chungu nzima. Membe kazia hapo hapo liwe funzo kwa wengine
Na je hao wanaojiita viongozi wa dini walikuwa wapi kipindi Musiba anadhalilisha na kuutweza utu wa watu? Mbona walikaa kimya na hawakupuza sauti kukemea maovu yake? Au nao walikuwa washirika wake? Au ndo dizaini ya akina MCKenzie wa Kenya?
By the way, nchi hii tunawakweza sana hawa wanaojiita...
Kuna maana gani kumdhalilisha mtu na kukimbilia kwa viongozi wa dini? Kumsamehe au kutomsamehe ni utashi wake Membe. Na tusisahau Musiba alivyomdhalilisha huyu mzee. Na laiti Magu angekuwepo sijui Membe angekuwa na hali gani muda huu? Yote kwa yote Membe alipwe fidia
Hao viongozi wa dini sisi waafrika ndo twawakumbatia tu, hakuna lolote la maana walilo nalo. Ushawahi kuona mataifa yaliyoendelea yanaendekeza hawa watu? Sijui askofu , mara imamu? Ni upuuzi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.