Recent content by public uniform

  1. P

    Baba mwenye nyumba na kondom zangu

    [emoji1] [emoji1] mkuu, ukiwa vitani ukamuua adui alie-surrender...huu unaitwa uhalifu wa kivita! So,na mm cjiskii vbaya ninapoamua ku-play by my rules ktk biashara...hzo nyngine ni busara tu na hekima!
  2. P

    Baba mwenye nyumba na kondom zangu

    Ahsant boss...nampa last chance
  3. P

    Baba mwenye nyumba na kondom zangu

    Ilo pia ni wazo[emoji1]
  4. P

    Baba mwenye nyumba na kondom zangu

    Icho anachokifany ni business as usual...sio km ni kipya!
  5. P

    Baba mwenye nyumba na kondom zangu

    [emoji1] [emoji1] awe anatia signature??
  6. P

    Baba mwenye nyumba na kondom zangu

    Nadai pesa mkuu...nipo kibiashara zaid! Mi ni km jambaz mwenye nidham na kazi yangu
  7. P

    Baba mwenye nyumba na kondom zangu

    Kwema? Jamani wadau, naombeni mnisaidie kufanya maamuzi leo naogopa kufanya maamuzi yangu binafsi nisije nikakosa wa kumlaumu. Nina mwaka wa 7 sasa nafanya biashara kwenye hiki kiosk nina changamoto kubwa ya kibiashara. Nimepanga kumshtaki mwenye nyumba wangu kwa mkewe kwa kunikopa kondom...
Back
Top Bottom