Recent content by Public Prosecutor

  1. P

    JamiiForums Tanzania Oral interview kada ya afya: tupeni feedback

    MUNGU NI MWEMA NIMEPATA KAZI 🙌
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukran familia
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukran kaka
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukran kiongoz
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    MUNGU NI MWEMA NA MIMI NIMEPATA 🙌
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nmesoma comments za member wa mwaka jana sion hata mmoja active lately ni ww tu umebaki basi ikawe kheri na sisi jobless 💯
  7. P

    JamiiForums Tanzania Oral interview kada ya afya: tupeni feedback

    Ytoday Njoo malizia
  8. P

    JamiiForums Tanzania Oral interview kada ya afya: tupeni feedback

    Interview yangu ni diploma ilikua na maswal 7 oral 1 introduce yourself 2 factors contributing to (kada yako)5 3 challenges facing (kada yako)5 4 determinants of health 5 5 components of risk assessment (4) 6 steps to minimize risk infection (5) 7 .......................limenitoka
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yudaaaaaa😂
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi ukiitwa written unatakiwa kwenda na vyeti original pia?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tujadili usaili kada ya Afisa Afya Mazingira

    Ukizingatia field practicals ni nyng Allah atutangulie 🤒
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tujadili usaili kada ya Afisa Afya Mazingira

    Haha how
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tujadili usaili kada ya Afisa Afya Mazingira

    Habari wakuu, Samahani kwa mwenye uelewa wowote kuhusu usahili kwa kada ya Afisa Afya Mazingira anisaidie, pia nakaribisha wanakada wenzangu tujadili kujiandaa na usaili. SHUKRAN IN ADVANCE
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wanajf nko na swal hivi job description ndo zile wameeka duties and responsibilities?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi mtu akitangulia oral hawez kuwaambia the rest maswali?
Back
Top Bottom