Na vipi kuhusu utongozaji wa kisasa wa kwenye ma-Face Book, Twitter, Skype, E-mails nk?..ambapo mwanaume husika hujawahi kumuona huyo Dada/Mwanamke, labda kupitia kapicha kadogo tu kalikoambatanishwa na hiyo "account" ya muhusika? ambapo maelezo mengi muhimu kuhusu sura, tabia, umbile, kipato...