Somo lako unalompa ni la batili ewe akhy ndiyo maana hakuelewi na hatokuelewa kamwe, rejea maandiko ya dini yako ikiwa wewe ni muislamu wa sawa basi utaachana na hizo ideology mbovu.
Watoto ni neema toka kwa Allaah na ni nguvu kazi ya jamii na taifa kiujumla.
Ama kuhusu idadi maalumu mwanaadamu hana mamlaka ya kujiwekea idadi maalumu ya watoto isipokuwa panapotokea dharura ya kisheria kuwa kizazi kidhibitiwe ili kunusuru nafsi ya mzazi mathalani au kuepusha afya yake...
Safi kabisa na isiishie hapo tu wapimwe na vipimo vya kijinsia kwa walimu wa kiume ijulikanwe ni mashoga au laa na walimu wa kike kadhalika, na sekta nyingine zote iwe namna hii kutokana na hali na zama hizi tulizopo mambo yamekuwa mengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.