Recent content by Psilver

  1. P

    Wafanyabiashara wa mji mdogo wa Sirari Tarime wafanya mgomo

    Wafanyabiashara wanaofasha biashara ya kuvusha mahindi kwenye mji mdogo wa Sirari wamefanya mgomo na kukataa kuvusha malori yao makubwa tangu asubuhi ya leo wakiomba msaada kutoka mamlaka ya juu wakilalamikia vitendo vya rushwa vilivyokithiri kwenye mpaka huo kutoka kwa Afisa kilimo na wataalam...
  2. P

    Yaliyojiri Bungeni - Julai 04, 2015: Spika aamrisha wabunge wa Upinzani kutolewa Bungeni

    Jamani tujuzeni mliokaribu na Tv nini?kinaendelea huku Dodoma sie wamekata umeme huku kwetu ndugu zangu ccm ni janga.
  3. P

    Tabora TANESCO wamefaya yao ili tusiangalie bunge

    Tanesco hawa ni laana kwa taifa wamekata umeme hata huku Tarime ili tusifuatilie mjadala wa bunge la ndio:flame::flame:
  4. P

    M/kiti halmashauri ya Tarime afanya biashara na halmashauri yake na kusababisha deni.

    M/kiti wa halmashauri ya Tarime ndg.Sagara Nyabikwi amelalamikiwa na kikao cha mipango na uchumi kilichoketi hivi karibuni chini ya makamu mwenyekiti ndg Selvester Marwa Kisyeri wajumbe wa kikao hicho waliozungumza kwa hisia kali wamedai kuwa diwani huyo wa Kata ya Sirari ambaye pia ndiye...
  5. P

    NCCR - MAGEUZI yamshambulia Diwani wa CHADEMA Mwanza kwa uzembe.

    Sasa shekilango huyu diwani sio Takukuru haya masuala ya rushwa kama yamewashinda hiyo taasisi yenye vijana na watendji diwani anawezaje?jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Kuhusu masuala ya ardhi wewe hujafafanua ameshindwa vp zaidi ya kulaumu masuala ya ardhi yana taratibu zake namna ya...
  6. P

    Zitto Kabwe awanyima usingizi CHADEMA, viongozi wahaha nchi nzima kuzima moto wa ACT

    Naona umetimiza wajibu wako Lisbon kumbuka kujenga chama na kuimalika na kuwa taasisi imara sio mchezo, Pili usiote ndoto ya mchana kweupe kuwa Act inaweza kuwa chama kikuu cha upinzani wauliza TLP hiyo kazi ilivyo ngumu .Tatu Viongozi wa Ukawa kwa pamoja wanajenga na kuamusha ari kwa wananchi...
  7. P

    Ushahidi wa Jinsi Zitto alivyompigania Mnyika Jimbo la Ubungo 2010!

    Ni vyema ukafuatilia Historia ya Zzk vzr kama ulivyoambiwa awali Kabwe alikuwa muaminifu huko nyuma lakini ghafla mienendo yake na matendo yake yalibadilika upesi na kuonekana ana dhimi mbili na hili amekili mwenyewe alianzisha mpango kabambe ili kukiboa chama kwa kuanzisha mkakati na wenzake...
  8. P

    CHADEMA ni wachawi wa upinzani - Mtatiro

    huu utaratibu wa kuwepo Post za mwaka 2011 humu mie sijaupenda hata kidogo Mods tazameni hili,au ndio jukwaa sasa limekuwa la upande na kama The fonder mnaelekezwa nini?cha kufanya mnatuchanganya hakika.
  9. P

    Updates: Kutoka ukumbi wa MCC Musoma mjini uzinduzi wa mafunzo CHADEMA

    Hongera sana mbunge wa Tarime mtarajiwa Heche kazi nzuri ya kujenga chama Mkoa.
  10. P

    Picha: Mavuno ya CHADEMA siku ya Pasaka

    Hongera sana kamanda Mawzo mungu akupe nguvu ili ufike salama na Tarime sijui huku ni lini ili kufuta Utawala wa Nyangwine kabisa na kuelekea kumuapisha Mbunge mtalajiwa na shujaa wetu Heche.bravo.
  11. P

    Tuitazame Falsafa ya Kauli ya Askofu Pengo

    Kadnari Pengo hakupaswa kutoa matamko ambayo kimsingi yalikuwa yanawagawa waumini na jamii huku akiwa ameshiriki vikao halali na kujadiliana na wenzake
Back
Top Bottom