Tuitazame Falsafa ya Kauli ya Askofu Pengo

Niliweka thread hapa jamvini mods wakaipoteza...swali nililouliza ni ukweli wa kauli ya Fr Cardinal Pengo.
 
hakuna kanisa imara kama kanisa katoriki kutokana na mfumo wake kama ungesoma kitabu ya historia ya kanisa ungejua kanisa limepitia majaribu mangapi makubwa hivyo kwa asiyelifahamu kanisa katoriki ndio anaweza kuwa na mtazamo kuwa kanisa katoriki limegawanyika, na iwapo kutatokea matatizo kanisa lina taratibu zake ilizojiwekea kutatua tofauti hizo kama kungekuwa na mgawanyiko ungeona viongozi wa rc wanaanza kushambuliana
 
Vicarius fill dei= 666??? na ndiyo maana nimeacha kwenda kuabudu huko......!
 
Kiongozi wa kanisa katoliki nchini Tanzania mwadhama kadinali Polcarpy Pengo ameligawa vibaya kanisa hilo nchini humo, imethibitika.

Pengo alitoa matamshi yanayolenga kuikubali katiba inayopendekezwa ambayo ilianzishwa kwa mizengwe mikubwa na lililokuwa bunge maalum la katiba hivi karibuni.

Wengi wa waumini wa kanisa hilo wanaipinga katiba hiyo pendekezwa huku wakidai kuwa haifuati na kutoa mwongozo wa misingi ya utawala bora pamoja na kutatua fumbo gumu la muundo wa muungano unaounda Tanzania.

Kutokana na matamshi hayo ya kadinali Pengo, waumini wengi wa kanisa hilo nchini Tanzania wamemuona kama msaliti.

Pengo pia alishambuliwa vikali na baadhi ya wasaidizi wake pamoja na askofu wa kanisa la ufufuo na uzima nchini humo.

Kadinali Pengo anatarajiwa kutoka na kutoa tamko katika ibada ya pasaka wiki ijayo kuhusu mustakabali wa kanisa hilo pamoja na sontofahamu kwa viongozi wengine wa dini ya kikristu waliomshitumu kutokana na kauli yake hiyo. Aidha anatarajiwa kuomba radhi kutokana na mgawanyiko huo mkubwa uliojitokeza.
Kama anataka kutoa mawazo yake binafsi!jukwaa sahihi sio altareni,kwa wakristu altare au madhabahu ni mahala patakatifu sana,ikiwa ameguswa kuendelea kutoa mawazo yake binafsi naamini ukumbi wa MAELEZO ndio sehemu sahihi!haya ni mawazo yangu binafsi...
 
mkuu kwa nn usingeopt kukaa kimya tu?hapa ndo umeandika nn?
Kama hujaelewa hata hayo, basi kuna mengi tu hutanielewa. Huenda kuna kitu una upungufu nacho na mimi sina uwezo wa kukubeba kwa kila post yangu
 
Hata kisiasa sijaona kama amekosea maana yeye hajaegemea upande wowote yeye alichosema ni kwamba tuwaache wananchi waamue kwa utashi wao alishauri wananchi waisome katiba imayooendekezwa waielewe na wakafanye maamizi bila kupangiwa na mtu mwingine sioni kama kuna sehemu alienda nje ya mstari
 
Kiongozi wa kanisa katoliki nchini Tanzania mwadhama kadinali Polcarpy Pengo ameligawa vibaya kanisa hilo nchini humo, imethibitika.

Pengo alitoa matamshi yanayolenga kuikubali katiba inayopendekezwa ambayo ilianzishwa kwa mizengwe mikubwa na lililokuwa bunge maalum la katiba hivi karibuni.

Wengi wa waumini wa kanisa hilo wanaipinga katiba hiyo pendekezwa huku wakidai kuwa haifuati na kutoa mwongozo wa misingi ya utawala bora pamoja na kutatua fumbo gumu la muundo wa muungano unaounda Tanzania.

Kutokana na matamshi hayo ya kadinali Pengo, waumini wengi wa kanisa hilo nchini Tanzania wamemuona kama msaliti.

Pengo pia alishambuliwa vikali na baadhi ya wasaidizi wake pamoja na askofu wa kanisa la ufufuo na uzima nchini humo.

Kadinali Pengo anatarajiwa kutoka na kutoa tamko katika ibada ya pasaka wiki ijayo kuhusu mustakabali wa kanisa hilo pamoja na sontofahamu kwa viongozi wengine wa dini ya kikristu waliomshitumu kutokana na kauli yake hiyo. Aidha anatarajiwa kuomba radhi kutokana na mgawanyiko huo mkubwa uliojitokeza.

Shida ya viongozi wetu wa dini (hasa hawa wazee wanaongoza kwa mazoea). Unajua utandawazi pamoja na matatizo yake lakini mimi kwa upande wangu naona umesaidia sana kuongeza uelewa wa wananchi wa nchi za Kiafrika.

Nakumbuka enzi za zamani kiongozi wa dini alikuwa akiheshimika sana katika jamii. Hii ilitokana na jinsi viongozi walivyokuwa wakizingatia maadili ya kidini. Pengo alidhani bado yuko kwenye ulimwengu wa zamani. Sasa na uzee wake huo anashindwa kuelewa kuwa tamko lililotolewa na Maaskofu, lilikuwa tamko lake?? Hebu tufikirie tu mfano mdogo tu, let's say chuoni au mahali pa kazi. Mumekubaliana kuchua hatua fulani dhidi ya mwajiri anayekandamiza haki zetu. Fikia mumekubaliana then mmoja wenu atoke awageuke ili hali wakati mnajadililana mpaka kufikia maamuzi naye alikuwepo: Mtamuweka kundi gani? (huyo si ni msaliti tu??). Pengo namuona msaliti tu hana tofauti na Juda Iskaliote. Kama angekuwa na hekima basi mawazo yake angeyatoa mle ndani kwa wenzake. siyo atoke nje halafu awageuke wenzake. Huko ni kujipendekeza kwa viongozi wa siasa ila aonekane yeye si mmoja wa maamuzi yale yaliyofikiwa.

Kama ana hekima inabidi awaombe radhi Maaskofu wenzake.
 
Asante mkuu. Taarifa nilizonazo ni kwamba wakati maaskofu wanaandaa tamko yeye hakuwepo. Alikuwa Italy kama sikosei. Aliporudi alikuta waraka umeshatoka tayari. Je kwa mazingira haya nafasi yake ilikuwa ipi?
 
Kwani tatizo ni katiba au mahakama ya kadhi? Mie sielewi kabisa, ila km ni katiba, Pengo alishauri bila ushabiki wowote, alisema tuisome, kisha tuamue kuikubali au kuikataaa, hivi wakrosto wote niwapinzani wa serekali? Au katika hao waliopitisha hakuna wakiristo? Huyu gwajima amekosa adabu kabisa, kwa mtu mwenye umri km wa Pengo, hata km si askofu, hupaswi kutumia maneno yasio na staha km aliyotumia huyo gwajima.
 
Clip nimeisikiliza. Sijaskia chochote kuhusu mahakama ya kadhi. Bali ni kuhusu mapendekezo ya upigaji kura kwa katiba pendekezi.
 
Gwajima akifa utaona jinsi gani Pengo na Usaliti wake utakavyosumbua taifa hili
 
Usahihi hajaligawa kanisa katoliki bali amejigawa yeye mwenyewe na kulisaliti kanisa kwa ajili ya siasa za chama kibovu cha magamba.
Amegeuka kuwa Yuda Iskarioti. Anapaswa kutubu.

unatolea wap huo ujasiri wa kumshambulia baba mtakatifu kiasi hicho wewe mtawa
 
Kadnari Pengo hakupaswa kutoa matamko ambayo kimsingi yalikuwa yanawagawa waumini na jamii huku akiwa ameshiriki vikao halali na kujadiliana na wenzake
 
Back
Top Bottom