Balozi Marwa M Maswi, Musoma
Kususa mara nyingi hakujawahi kuwa suluhisho la mkwamo au mgogoro wa siasa. Hata katika mazingira fulani fulani ambapo mbinu hii imefanikiwa, kufanikiwa huko hakukutokana na kususa pekee, bali kwa kuchagizwa na mashinikizo mengine pia hususan kutoka nje. Tena mara...
Kwangu naona ni kejeli kwa Kinana.
Bashiru, nikukumbushe usingekuwa ulipo kama si Kinana! Na nikufahamishe tu, Nape anajua mengi kuliko udhaniavyo.
Fikiria:
> Mjumbe wa NEC Taifa miaka 15 mfululizo
> Mjumbe wa Kamati Kuu - Miaka 6
> Afisa wa Chama Makao Makuu miaka 17
> Mkuu wa Wilaya...
Yaani, sasa serikali yetu inahangaika hadi na WhatsApp groups?
Hii sio kuingilia privacy za wananchi zilizo guaranteed na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Ibara ya 18)?
Nachelea kusema kuwa sasa kinachofanywa ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Makundi ya WhatsApp ni private...
Sawa mkuu wangu, kanisa letu lina mazuzu. Mengine kati ya hayo unayajua wewe!
[emoji1484]
Mithali 26:4-6
Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi. Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu...
Mkuu wangu, wale wenye hoja za kutuelewesha tusioelewa endeleeni kutusaidia ili tuwe na uelewa mpana wa mambo.
Nimekiri, nakerwa na michakato ya ukaguzi na kamera kanisani.
Ulinzi wa Rais ni muhimu, hilo halina miadala ila wanaohusika na ulinzi wanatakiwa kujipanga ili heshima ya kuwa hilo ni...
Umenielewa namaanisha nini. Kama unalijua Baraza la Walei utaelewa namaanisha watu gani.
Lakini, Pascal Mayalla ameeleza kwa uzuri tofauti ya Nyerere na Magufuli. Nilitarajia treatment ileile ya Nyerere/Mkapa kwa Magufuli pia
Nimeona niwasemee wale wanaoendelea kusali St. Peters. Hata huko kusini alikoenda ni mwendo wa kanisa kuwa mateka kwa muda.
Sielewi lengo hasa ni nini.
Inasikitisha, inahuzunisha kuwa Kanisa Katoliki limeamua kuiacha hii hali iendelee.
Taratibu za kanisa zinavunjwa, watu wanasauliwa na kukosewa heshima kisa muumini mwenye madaraka ya Rais ameingia kanisani.
Nimelazimika kuacha kusali St. Peters sababu ya harassments zinazofanywa na walinzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.