Mh! nadhani hizi ni pinu za ccm kutaka kuichafua chadema, na ukweli utabaki palepale kuwa chadema wako juu, kuhusu clip hiyo isiwape tabu siku hizi kuna technologia za hali ya juu, (Digital) kwa hiyo hapo hakuna cha chadema wala nini wauaji ni hao hao ccm wala wasitake kujiosha mbele ya wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.