Recent content by PRPP synthetase

  1. PRPP synthetase

    I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Kama una link ya page hiyo mkuu naomba link tafadhali
  2. PRPP synthetase

    I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Naomba link ya huko mbele mkuu... niliishia page ya 1200
  3. PRPP synthetase

    I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Mkuu naomba link ya kuanzia chapter 1000 mana naona link niliyokuwa natumia mwanzo haifunguki.
  4. PRPP synthetase

    I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Interesting..... Ukiendelea naomba uni-tag
  5. PRPP synthetase

    Jamani naomba msaada wa kitabibu wa tatizo la kutoka vipele na muwasho mkali nikiwa kwenye jua

    Asante sana.... Glass moja asubuhi na jioni pia moja au mbili kwa kila muda wa matumizi?
  6. PRPP synthetase

    Jamani naomba msaada wa kitabibu wa tatizo la kutoka vipele na muwasho mkali nikiwa kwenye jua

    Asante mkuu ngoja nione itakuwaje mana hii hali huwa sio poa!
  7. PRPP synthetase

    Jamani naomba msaada wa kitabibu wa tatizo la kutoka vipele na muwasho mkali nikiwa kwenye jua

    Kurudi nyumbani bila suluhisho sizani kama ni njia sahihi mkuu! Natafuta matibabu zaidi
  8. PRPP synthetase

    Jamani naomba msaada wa kitabibu wa tatizo la kutoka vipele na muwasho mkali nikiwa kwenye jua

    Mimi ni kijana wa miaka 28 mkazi wa Singida japo kwa sasa nipo Iringa. Mwaka 2018 nilikuwa Mbeya kimasomo ni mwanafunzi wa mambo ya afya katika kada ya afya. Tatizo linalonisumbua ni kuwa mwili huwa unapata msisimko kama aleji, allergy pindi nikipata joto au msisimko wa uoga. Hali hii ilianza...
  9. PRPP synthetase

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hebu nipe link mkuu au nitag huko Sent using Jamii Forums mobile app
  10. PRPP synthetase

    Simulizi ya kusisimua- (penzi la mfungwa)

    Mkuu bado tunasubiri mwendelezo!! Jana imeshapita Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom