Recent content by proxy255

  1. P

    Sharp boys and girls tupeni hizo mbinu za kusurvive mjini jamani

    Unaweza kuongea jambo bila kuweka dharau ndani yake?
  2. P

    Sharp boys and girls tupeni hizo mbinu za kusurvive mjini jamani

    Sasa nani ametaka hela ya bure,nimeuliza watu watupe fursa zilizoko on internet. Basi hapo unaona umetoa bonge la punchline
  3. P

    Sharp boys and girls tupeni hizo mbinu za kusurvive mjini jamani

    Naongea na Sharp boys and girls. You're non from above kalime magimbi
  4. P

    Sharp boys and girls tupeni hizo mbinu za kusurvive mjini jamani

    Hivi hawa ni legit? Au nitaliwa hata hiki kidogo nilichonacho?
  5. P

    Sharp boys and girls tupeni hizo mbinu za kusurvive mjini jamani

    Text nimetumiwa baada ya kuijibu nashangaa nimeiweka hapa
  6. P

    Sharp boys and girls tupeni hizo mbinu za kusurvive mjini jamani

    Sharp boys and girls Tunaomba codeee wakuu Tunaomba michongo ya kusurvive hapa mjini
  7. P

    Aviator addiction; something I don't wish even to my worst enemy

    Uko sahihi kabisa,dalili za mtu ambaye yupo addicted na aviator ni very tricky mtu wa karibu kujua ni ngumu sana. Hata Mimi nilikua leo unanikuta na milioni 2 kesho nakuuomba 5k nile mpaka unashangaa. Nakopa 200k napiga napata 1M yule jamaa aliyenikopa nampa 300k namwimbia hiyo 100k ishi nayo...
  8. P

    Aviator addiction; something I don't wish even to my worst enemy

    Kuna waalimu sasa🙌🙌 Hii kitu inaua watu low key
  9. P

    Aviator addiction; something I don't wish even to my worst enemy

    Addiction mbaya ni ipi? Hiyo addiction ndio mbaya zaidi
Back
Top Bottom