Recent content by protox1993

  1. P

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    hizo hizo picha sio za wazanzibar...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    kama kungekua na ushaidi wa kimazingira .. ningekubaliana nae lakini wa maneno matupu?? ametoa picha za watu wenyeminyololo anasema sio lazima iwe zanzibar?? kwenye ubongo wake ameamini biashala ya utumwa ni mwarab tu.... kongo watu walivishwa izo na hakukua na mwarab picha katoa wapi hizi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    mimi ili nikubalianr na pasco naomba vita moja tu kati ya mwarab na mwafrika ...maana mzungu na mwafrika ni hii maji maji... slave trade 90% ni mzungu mpaka hapa ushaidi wa kimazingira unaonesha aliusika mzungu kote alipopita mpaka mkunazini unguja chini ya nyumba ya kuabudia
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

    yupo hilo husibishe ...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Historia ya Abbas Kleist Sykes na Julius Kambarage Nyerere (1952 – 1999)

    tatizo una miemko... relax
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    umeelewa sasa maana yangu?? sikua na maana mbaya ya kukushauli kua na subra kipindi hiki ni bora sana kuliko muda wowote uliopita.... (lisemwalo lipo kama halipo laja)... wamesamehewa kwisha .. sasa tuone swali lako je? chama chao kita watambua? wakishinda? ...na mimi nimekukumbusha najua unajua...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    selemani jafo anausika vipi? kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa??
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    chama hapa tz kina nguvu kuliko mgombea kabla na baada ya kuchaguliwa... chama kikikupokonya kadi yako ya uwanachama wewe unapoteza moja kwa moja nafasi uliyonayo kupitia chama... hata magufuri akipokonywa kadi na kuambiwa sio mwanachama anakua sio rais .... sembuse m/kiti wa mtaa?? ataivyo...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    leo tumeamka na habari mpya ...waziri kasema walioenguliwa waludishwe ..ndio maana nikasema lisemwalo lipo kama alipo laja. pupa ni jambo la kua na halaka sio tusi. umeona?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    w wanakuaje na vigezo? ikiwa kwanza wamekosea kuja fomu.. pili hawana chama? je? wagombea binfsi wameanza kuruhusiwa tz? ama kweli siku ya kutembea uchi ndio hiyo hiyo utakutana na mkweo .fedhea kubwa hii
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    lisemwalo lipo kama halipo laja... hutakiwi kua na pupa.. subili kwanza.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    mke wangu aliagiza pete kidani na heleni .... zilipofika ni kituko vyote vya kitoto
Back
Top Bottom