Recent content by Protein

  1. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Zabron alikuja kusoma, alipenda maisha ya mteremko akapata shangingi la ki Zaire likamuweka Zabron ndani akipigia mahesabu ya uraia baada ya shule. Alipopata maambukizi kilinuka ndipo alianza kuwaambukiza wabongo. Habari ya kuoa bila kupima si alikuwa mtoto wa kigogo ametoka Ulaya nani amsumbue.
  2. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Yes na CD4 zilishuka kishenzi zilikwa around 200 nilipogunduliwa lakini nilikuwa ninakwenda kazini kama kawaida
  3. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Kama immune system ni nzuri ndiyo, Mimi niliaza kusumbuliwa na ngozi, dermatologists alisema ni eczema kumbe ngwe ngwe bwana. Zaidi ya hapo I was just fine.
  4. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Thank you sometimes holding a certificate doesn’t mean you passed the exam.
  5. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Zabron si jina lake halisi
  6. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    No kila kata inapewa fungu la budget, sasa kama kata yenu ina mahitaji mengi ya dawa ghali inamaana budget itafemea.
  7. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Hununui lakini daktari lazima aangalia gharama na mahitaji ya watu.
  8. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Well I was embarrassed na sikuwaza the consequences, as you have said let by gones be by gones.
  9. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Imeshake mkuu ni typing error
  10. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Mkuu I was rapped on the first day.
  11. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Hata nikikoment kwenye siasa wale wa upande wa pili watasema ni yule muathirika. Hapa watu wamepinda sana.
  12. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Kwasababu wao wenyewe immune system yao inexhaustible shake sasa wakipata magonjwa mengine si ni mvurugano
  13. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Prep ni anti virology kwahiyo zinazuia receptors kupokea virus kwenye cell
  14. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Shukra mkuu
  15. P

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Hawezi kuambukiza
Back
Top Bottom