Recent content by PROSPER 05

  1. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wameonyesha UDHAIFU Kuhusu TAIFA STARS Wakati Mwingine Wasialikwe Kambini Wakati Wa Mashindano

    Anaandika SALEH ALLY (wa salehjembe blogspot) WABUNGE walitaka kumtoa roho CAG, kisa aliwaita dhaifu, tena aliyeongoza vita hiyo ambayo wao waliita ni dharau ni Spika Job Ndugai. Huenda lilikuwa ni suala la matamshi akiwa na maana wao si imara, liliwaudhi hadi CAG akaitwa bungeni na kujadiliwa...
  2. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Dijk- "Sijui tutamzuia vipi Messi"

  3. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

    Kupitia ukarasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook, uongozi wa Nkana FC umewaomba mashabiki wa Yanga kuisapoti timu hiyo katika kampeni yake ya kuiondoa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa kutokana na uwepo wa Kessy aliyewahi kutumikia timu yao. Taarifa hiyo ilisema kuwa: “Wapendwa mashabiki wa Yanga...
  4. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku Walimu kutembea na viboko na kuchapa Wanafunzi kinyume na sheria

    Kulipa zaidi ya Milioni 4 na Kufukuzwa ukipata chini ya wastan ni zaidi ya bakora....Lazima uwe na nidhamu
  5. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Simba SC wazidi Kunoga

    Isije ikawa Ni Mapichapicha ya UCHAGUZI..... Maana Simba na Yanga ni Pasua Kichwa. Toroka uje Azam fc!!!
  6. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Kiungo Himid Mao asaini mkataba wa miaka 3 Klabu ya Petrojet ya Misri

    Kocha alimpanga akiwa hayuko fiti.
  7. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kushuka daraja mwakani!

    Acha Kupotosha AZAM FC Hatuna Undugu na MIKIA.... pamabneni na hali zenu..
  8. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Willian anasema Ronaldinho ni kiboko kuliko Messi, unakubaliana nae?

    NDIO Umeandika nini? Hebu soma tena.......... QUICK TURN AND SPEED ni sehemu ya techniques. Plus Messi ana Uwezo wa Kutengeneza Magoli na Kufunga, pia Kwa maneno ya Leo ferdinand Messi haruhusu beki kugusa Mpira wala Mguu wake...
  9. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Thanks Thanks, Zimebaki 2
  10. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Fursa hiyo kwa wanaotaka kujiendeleza The Julius Nyerere Masters Scholarship will cover tuition fees, living costs of £10,000, and a return flight from Tanzania to the UK. The scholarship is tenable for one academic year. In addition to their studies, the successful applicant will be expected...
  11. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    ni kweli, but ps2 is good for business....
  12. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Hapana Sina na sina uhakika maana sijawahi kucheza hilo Game
  13. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Yah Unaweza Kucheza Check Video hapo chini
  14. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Nimesha kuPM with my best offer Bro...
  15. PROSPER 05

    JamiiForums Tanzania Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Ongeza Ongeza Kaka ha ha haaaa
Back
Top Bottom