Recent content by prophet_tz

  1. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

    GALILAYA njiapanda ya kwenda mnazareti kona ya mzeituni jengo la SULEMAN gorofa ya 102 ..chumba namba 5 ...
  2. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

    Nimeambiwa watumiaji wa mirinda , na walaji wa pilau au watumiaji wa mtandao pendwa hawaruhusiwi
  3. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

    Kama ilivyo kuwa kipindi cha nuhu ...ndivyo ilivyo hata sasa mkuu
  4. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]
  5. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna mtu anatengeneza hii kifaa msije sema sijawambia

    Habarini za mda huu ndugu zangu, kule Mbeya wilaya ya Kyela kata ya Ipinda kuna mwamba anatengeneza hii kifaa kwasabu nimeona nikasema nije kuwaeleza ndugu zangu ili badaye tusije laumiana kusema cjawambia. HAYA WATU WA MBEYA UGONILE!
  6. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe hujawahi kutana na hawa wahubiri mitaani maeneo ya posta kama mimi karibu utupe uzoefu wako hapa

    Duh... kwahiyo wanasaka vichwa virahisi kushawishika ama
  7. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe hujawahi kutana na hawa wahubiri mitaani maeneo ya posta kama mimi karibu utupe uzoefu wako hapa

    Kwani wanao hitaji mahubiri wengi ni wasokoni pekeyake mkuu ?
  8. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe hujawahi kutana na hawa wahubiri mitaani maeneo ya posta kama mimi karibu utupe uzoefu wako hapa

    [emoji23][emoji23]..kwanza sikai posta ila mara nyingi huwa napita pita sana pia nimekuja hapa ili wenye uzoefu waniambie kama walisha kutana na hawa ndugu zetu wahubiri kwa maenei hayo tajwa
  9. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe hujawahi kutana na hawa wahubiri mitaani maeneo ya posta kama mimi karibu utupe uzoefu wako hapa

    Ok kesho ntafanya hiyo field ..... now where is your point
  10. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Matofali ya kujenga yanauzwa yapo kigamboni kibada

    Wengine siyo wakujibizana nao mkuu ... mawasiliano yapo pale kama alikuwa na uhitaji angepiga... kwasabu mda wakuingia jf tuna pata mara chache ndiyo maaana nkasema mwenyekuhitaji serious awasiliane ...
  11. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe hujawahi kutana na hawa wahubiri mitaani maeneo ya posta kama mimi karibu utupe uzoefu wako hapa

    Ni muda mrefu kidgo umepita nimekuwa nikifuatilia kufahamu jambo japo binafsi nlikuwa najiuliza viji maswali ya hapa na pale kuna mda pia nikqjisemea labda mimi bado cjamaliza maeneo ya posta na viunga vyake .....niseme ukweli cjawahi kutana na hawa ndugu zangu wahubiri maeneeo yale kama ilivyo...
  12. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Kuna pombe Serena Hotel inauzwa Millioni 15

    Ngoja waje kukupa mwongozo .... zipo boss tena hata zaidi ya hiyo
  13. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Matofali ya kujenga yanauzwa yapo kigamboni kibada

    True [emoji120]
  14. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi gani ulishawahi fanya kwenye maisha yako?

    Amina [emoji120]
  15. prophet_tz

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi gani ulishawahi fanya kwenye maisha yako?

    [emoji848][emoji848] Mkuu si bora k-vant kuliko nyagi
Back
Top Bottom