Recent content by ProMagufuli

  1. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wapinzani lazima wakubali kwamba Uchaguzi umekwisha

    wewe huoni nishaonyesha.
  2. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Ndio maana nikasema tusubiri mpaka ipatikane tume huru. Tuwasusie
  3. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Basi tungojee Neema ya Mungu
  4. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wapinzani lazima wakubali kwamba Uchaguzi umekwisha

    Unaandika upuuzi mkuu. ubaya gani watafanya ambao hawajaufanya. Mimi naona Kwanza kulalamika tu haitoshi inapaswa ni vitendo viwepo.
  5. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Bora tusubiri yakamilike ndio tufanye uchaguzi. Maana kwa SASA hata tukifanya ni upotezaji wa rasilimali na muda maana outcome yake inajulikana. Bora kusubiri mpaka Yesu arudi kuliko kushiriki uchaguzi ambao mnajua hamuwezi kushinda.
  6. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Lakini mimi nadhani kwenye suala la maandamano, Walioitisha walipaswa kuitisha ya non stop, wangeendelea tu hata kama ni wachache baadae wananchi wangewaunga mono, tatizo na wao hawama uvumilivu. But sijajua ugumu unakuwa wapi exactly na kwanini hawawezi kuendeleza maandamano
  7. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Shida iko wapi?
  8. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Au tususie uchaguzi mpaka pale misingi Bora ya demokrasia ikiwekwa. Tume huru na usimamizi huru wa uchaguzi. Maana kuendelea kushiriki ni kama kuzidi kuwabariki CCM na madudu yao. Ila wajaribu kuungana, na vyama ambavyo vinaonekana ni saidizi kwa CCM visiruhusiwe kuungana. Au la kuwe na msemaji...
  9. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Nini kifanyike, ili kuondoa hio shida?
  10. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Habari ProMagufuli na wadau wote. Asante kwa kuleta mada hii muhimu. Umeweka wazi kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa umetuonyesha mapungufu makubwa katika demokrasia yetu. Ni kweli tumeona uporaji mkubwa wa kura na ukiukwaji wa haki za wananchi. Hebu tuchambue kwa kina zaidi na tutafute...
  11. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Habari wadau, ni matumaini yangu mko vyema kabisa, Kwa jina naitwa ProMagufuli. Napenda kuleta hoja kama kichwa kinavyosema. Kufuatia uchaguzi wa serikali za mitaa tumeweza kujionea yaliyotokea. Umefanyika uporaji mkubwa wa demokrasia. Sasa kama wanajamii forum ni nini kifanyike ili kuweza...
Back
Top Bottom