Recent content by proje

  1. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wailiza CCM Kagera. Prof. Anna Tibaijuka na Charles Mwijage Wamulikiwa Taa Nyekundu!

    ni mapambano kati ya Watumia pesa na waamini Mungu!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

    kama kweli CHADEMA wakoserious na kujenga chama,heri kubaki na wanachama wachache kuliko kua na wanachama wengi ambao ni wasaliti na vibaraka wa CCM.
  3. P

    JamiiForums Tanzania JOHN MNYIKA -Muswada Binafsi wa Sheria ya kuunda Baraza la Taifa la Vijana

    Ahsante kaka,vijana tuko nyuma yako katika jitihada zako za kuwatetea vijana....wanaolala bangeni tunawajua,wanaozomea bungeni tunawajua,wanaoongozwa na itikadi za vyama hata kwenye mambo ya msingi tunawajua na wenye uchungu wa kweli na nchi yao tunwajua .!ole wao mwaka 2015
  4. P

    JamiiForums Tanzania Haya ndio madudu yaliyotokea kwenye usaili tare 15.12.2012, Kinachoendelea UTUMISHI ni kiini macho

    "kama umemaliza chuo unakwenda kupata barua iliyokuwa certified kuwa kweli umemaliza na inatosha kufanyia interview." Aliyecoment hii startment atwambie ilikua kwenye kipengere gani cha tangazo la kazi...ninachojua walisema wanataka vyeti halisi na transcrpt,testimonial and statement of results...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

    Hakika Mungu atrajidhihilisha na kuwaumbua wale wenye sias za maji taka
  6. P

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Tunahaja ya kumomba sana Mungu,manake alilosema askofu tukubali linainyemelea nchi hivyo hatuna budi kuiombea nchi watu watendewe Haki,usawa na huku wakitimiza wajibu wao Mungu ibariki Tanzania
Back
Top Bottom