Recent content by profmkami

  1. P

    Wazungu wengi wanahangaika na China kwa sababu ya rare earth materials. Naona fujo zimehamia Tanzania

    Haya ni madhara ya CCM mbovu kwa mana ndani ya ccm ukiwa mzuri wa propaganda hapo ndipo unaonekana wa maana, ndani ya ccm kwa sasa hauoni wala hausikii kijana wala mzee ambae yuko competent, Hawana sera, hawana mikakati kwa ajili ya nchi yetu ndo mana unakuta kiongozi mkubwa anaenda kuongea na...
  2. P

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Daa sometimes huwa naona watu hatuelewi uchumi, mana ukisema maendeleo ya watu na siyo vitu I hardly can separate that, wakati wengine tunafikilia kwanini hatu divert luvu isimwage maji baharini na tupeleke maji hayo kuanzia morogoro, dodoma, ingida, kahama hadi mpakani lusumo, ilikusudi zile...
  3. P

    Black people hate everything about slavery except religion

    Kingereza ni lugha ya mawasiliano, na ili jamii kuendelea inahitaji kuwa flexible katika kuwasiliana na jamii moja na nyingine, na wala uraibu wake hauwezi fananishwa na dini
  4. P

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Kama unampeleka kijana shule kutoka primary, secondary, advanced secondary yapata miaka 14, lakini kijana huyo hatokuwa na ujuzi wa aina yeyote unaohusiana na mazingira yake, kwamfano katoka kijijini kuna shamba, kuna mbuzi au ng'ombe lakini sisi hakuna tulicho mwelewesha juu ya kwenda...
  5. P

    Can Tanzania develop without educational reform and proper land management?

    In Africa we have educated people since colonial era till to date, Tanzania Got its independent since 1961, to date its 70 years plus. despite having educated people both studied in Africa and abroad, we are still struggling economically and politically. we has mentality that we can develop...
Back
Top Bottom