Recent content by profHarryEnock

  1. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Fanikisha biashara yako kwa online Marketing

    Mkakati: Edu-Showcase Microseries Hapa mwanetu unaweza kuunda mfululizo mfupi (microseries) wa vipande 3–5 vya content vinavyochanganya elimu ya sanaa, mchakato wa ubunifu (process transparency) na matumizi halisi ya bidhaa. Kila kipande kiwe kifupi (15–35s), kimetengenezwa kwa muundo mmoja thabiti
  2. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Fanikisha biashara yako kwa online Marketing

    Kama unataka kuvutia wateja wapya na kuongeza engagement ya biashara yako, basi wewe ni mtu niliyemtafuta. Mimi ni mtaalamu wa online marketing, nikiendesha campaigns zenye data-driven strategies, SEO/SEM, na social media optimization. Kwa kutumia vifaa vyenye weledi kama laptop ya kisasa...
  3. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Wakazi wa Moshi: Fursa Adimu ya Kujifunza na Kufurahia Utalii wa Ndani

    Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi, Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa kulijadili – ni fursa adhimu, inayowahusu wote, iwe bado hujaoa au kuolewa, ama hata kama tayari una...
  4. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Ukatili, Unafiki wa Polisi Wanaotetea Wahuni, this ain’t Justice

    Hii dhambi ya kikatili inayofanywa na baadhi ya viongozi na jeshi la polisi kutetea wahuni ni moral decay ya hali ya juu. Mnataka ku-justify mateso, unyanyasaji na harassment ya raia huku mkiwakingia kifua criminals? That’s some straight-up b*tch move. Kwa msingi wa Katiba ya JMT Ibara ya 12(1)...
  5. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania UJASIRI WA KUFIKIRI UPYA: SULUHISHO LA KUDUMU KWA TATIZO LA AJIRA TANZANIA

    Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
  6. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Nakuelewa, lakini bado si sahihi kusema mtaji siyo tatizo – tafiti nyingi (kama za GEM na IFC) zinaonyesha access to capital ni kikwazo kikuu kwa wajasiriamali. Uthubutu bila mtaji hubaki kwenye conceptual stage, kwani entrepreneurship ni mchanganyiko wa courage, resources, innovation, na...
  7. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Nakuelewa, lakini bado si sahihi kusema mtaji siyo tatizo – tafiti nyingi (kama za GEM na IFC) zinaonyesha access to capital ni kikwazo kikuu kwa wajasiriamali. Uthubutu bila mtaji hubaki kwenye conceptual stage, kwani entrepreneurship ni mchanganyiko wa courage, resources, innovation, na...
  8. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Hapana, hiyo ni hoja ya kijuujuu. Ujasiriamali siyo uthubutu pekee, bali ni complex integration ya mtaji, maarifa, sera, masoko na miundombinu. Biashara si watu tu, ni mfumo unaohitaji enabling ecosystem imara. Hata “mjasiriamali hodari” akibaki bila sera thabiti, mitaji na mazingira wezeshi...
  9. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tumekuwa Spectators Katika Nchi Yetu – Hii Ni Dhihaka Kubwa Kwa Demokrasia Yetu!

    Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba hatuna akili za kupambanua nani anafaa kutuongoza. Hivi kwanini kura yangu – kura yako – iwe treated...
  10. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  11. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Tanzania siyo tena Taifa, ni Cartel Inayofanya Uharamia wakati maskini wanaishi kwenye giza na ndoto zilizokufa

    Tanzania ya sasa siyo taifa, ni cartel inayojificha ndani ya mfumo wa kikatiba. Tumegeuka kuwa nchi ya maigizo, ambapo wahalifu wakubwa siyo tena wale wanaopora kwa bunduki bali wale wanaosaini mikataba hewa kwenye boardrooms wakiwa na wine glass mkononi na fake smile usoni. Tumefika mahali...
  12. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Utalii wa Ndani ni Mali Yetu – Jitokeze Kujionea Uhalisia wa Tanzania Yetu!

    Hapa kaka umenyooka na hujawahi kwenda tofauti
  13. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Pili: Si Kila Mvutaji Bangi Ni Mhalifu – Tujifunze Kutojiharakisha Kuhukumu

    Katika dunia ya leo yenye kasi na mitazamo ya haraka, mara nyingi tumekuwa wepesi wa kutoa hukumu dhidi ya watu kwa misingi ya taswira au taarifa za juu juu. Mojawapo ya maeneo haya ni matumizi ya bangi. Ni kweli bangi imeorodheshwa kama kitu haramu katika sheria nyingi, lakini je, hiyo inatosha...
  14. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  15. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu kuhusu sheria za kukopa pesa benki, hasa kwa wafanyabiashara wadogo

    Nahitaji kufahamu kuhusu sheria za kuchukua au kukopa pesa bank hasa kwa wafanyabishara wadogo wadogo. Kuna mikopo inatolewa na bank ya NMB kwaajili ya machinga na wafanyabishara wadogo wadogo, ili niweze kuomba mkopo kama huo ni lazima niwe na mali isiyohamishika? Msaada tafadhali, kwa...
Back
Top Bottom