Recent content by Proffessa wa Kichina

  1. P

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Mount Kilimanjaro Climbing Tour March 2015

    Ni jambo jema asanteni kwa kuleta jambo hili. Pia kama muda utawabana wengine nadhani mnaeza kupanga miezi mingine ila isiwe wa sita, saba na nane sababu ya baridi.
  2. P

    JamiiForums Tanzania David Kafulila(MB) awaweka washauri wa JK Pagumu: Aonyesha JK alivyolivyolipotosha Taifa Leo

    Rais wa Ccm hujawahi kutoa maamuzi yako binafsi bila kushinikizwa. Hatushangai. Nilitegemea hivyo hongera "Mheshimiwa"
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    Ni muda wa uhakika kukutana na ndugu, jamaa na marafiki wengi kuliko wakati mwingine wowote wa mwaka. Sijui nani alianzisha jambo hili bt linatusaidia sana. Marangu nakuja Jumapili. Meet u my People; Godbless Goodluck Godbright Godlisten PROUD TO BE A CHAGGA. The floor of Mt. Kilimanjaro is our...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar kuibeza na kuiponda CCM ni makosa makubwa

    Hatukatai Maandeleo swali ni je yanalingana na miaka tuliyonayo (53) na rasilimali tulizonazo?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia anusurika kipigo jimboni kwake kwa kauli chafu

    Wasome alama za nyakati.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Chimwaga then Udom Tulitarajia haya mmechelewa xana University ya Kata
  7. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tusipokuwa makini kuna uwezekano mkubwa kupoteza jimbo la Arusha

    Labda ingekua Bagamoyo wasikojua mageuzi. Mnataka mzawa eeh basi watu wamenunua mji wote na wamezaliwa hapo
  8. P

    JamiiForums Tanzania `Kikwete acha kigugumizi` - LIPUMBA amchana Jakaya

    Sikupoteza kura yangu. Mi ni mmoja wa kura za upinzani zilizopunguza 80% zako 2010. Pole mheshimiwa.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa IPTL atema cheche

    Tanzania ni taifa dhaifu kwenye rasilimali zake nenda kawekeze Botswana
  10. P

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Wabunge Walionesha Msimamo Sakata la ESCROW Natoa Rai Wabaki 2015

    Tuwapunguze wabunge wengi wa Ccm ili hata wakichakachua Uraisi wanabanwa bungeni mbaya.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Wabunge Walionesha Msimamo Sakata la ESCROW Natoa Rai Wabaki 2015

    Nop watu walisawazisha bao mpira ukaenda extra time 'Spika ukarimu wake ulinipa mashaka ila alikua katega'
  12. P

    JamiiForums Tanzania Majibu tata kutoka kwa Rais Kikwete kuhusu na Sakata la Tegeta Escrow

    Ha ha ha "Le Professerie du China"
  13. P

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Wabunge Walionesha Msimamo Sakata la ESCROW Natoa Rai Wabaki 2015

    Sure tuchuje uwezo wa mtu sio kwenda bungeni kwa maslahi binafsi kama 'Mo'
  14. P

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Wabunge Walionesha Msimamo Sakata la ESCROW Natoa Rai Wabaki 2015

    Amavumbi zaidi ya vitenge vya ccm, kofia na tshirt zenye picha yake. Elfu kumi kumi kwa walimu na kujenga ofisi za ccm kila kata. Haya ndo maendeleo?
Back
Top Bottom