Recent content by Professor TSU

  1. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania Lema kuhojiwa kwa kutoa kauli ya kwamba 'Bunge ni dhaifu'. Wabunge wa CHADEMA wasusia Bunge...

    Bunge ni dhaifu tena dhaifu sana
  2. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania Clouds TV yafuta kipindi cha kumuhoji Maalim Seif kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao

    Mungu tuepushe na Haya tunayoyaona yasije Leta machafuko
  3. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania Lugola aagiza Polisi kuwakamata wapinzani ‘wanaomtukana’ Rais kupitia mikutano ya ndani. Asisitiza mikutano ya siasa ya hadhara marufuku

    Mwenyewe amefanya mkutano wa hadhara Au katazo ni la wapinzani tu
  4. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Mwandishi wa Mwananchi akamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi

    Jana raia wampepigwa kinyama hadi kwenye biashara zao
  5. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania Polisi 105 wamechukuliwa hatua mbalimbali za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi

    Mara kibao polisi wamekuwa wakiwatesa raia na kuwaweka kizuizini Karibia miezi miwili bila kuwapeleka mahakamani
  6. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania Tanzania yalamba dume baada ya kukamata ng'ombe 6648 wa Uganda

    Hapa naona vita vya kidipomacia Kati za Hizi nchi tatu za East Africa
  7. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde (Kibajaji): Unaposema tumepata dume, CHADEMA kutakuwa kuna majike Nyalandu anatakiwa kuyazalisha

    Wakati Nyalandu yuko darasa la 7 Lusinde alikua darasa la 5. Nyalandu akafaulu akachaguliwa kwenda kidato cha kwanza shule ya wavulana ya vipaji maalumu kibaha. Wakati Nyalandu anaingia kidato cha 3, Lusinde alikua anafeli mtihani wa darasa la saba. Wakati Nyalandu anamaliza Kidato cha 4 na...
  8. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania Spika tusaidie kujua CCM ilifanya vikao lini kumfukuza Nyalandu

    Hahahahah Spika ni msemaji wa CCM
  9. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Hahahahahahaahahha labda Nyalandu aliipeleka kwa makinda akidhani kuwa ndiye spika Hahahahah eti kamati ya bunge nawashwa?
  10. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Kuna mambo yanayoendelea kwenye ulimwengu Wetu wa siasa na matamko ya kila aina vitisho na mining'ono ya kila aina ambayo kila siku yanatrend na kila tukio Linataka kufunika tukio lingine mfano Lissu alipigwa risasi siku chache zilikapita mstaafu wa jeshi kapigwa risasi ila sikuielewa hiyo movie...
  11. Professor TSU

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ambwatukia "Shaffih Dauda"

    Hahahahah
Back
Top Bottom