Usiogope kukosea, ogopa kutokujifunza kilichosababisha ukosee.
Wanaofanikiwa sio wasiokosea, bali wale wanaojifunza kilichoawafanya wakosee, hivyo hurekebisha makosa yao na hujaribu tena na tena na mwisho HUFANIKIWA.
Unapoziendea ndoto zako usiogope kukosea, bali chukulia kukosea kama fursa ya...
Usiogope kukosea, ogopa kutokujifunza kilichosababisha ukosee.
Wanaofanikiwa sio wasiokosea, bali wale wanaojifunza kilichoawafanya wakosee, hivyo hurekebisha makosa yao na hujaribu tena na tena na mwisho HUFANIKIWA.
Unapoziendea ndoto zako usiogope kukosea, bali chukulia kukosea kama fursa ya...
UNACHOKILEA VIZURI KITAKUUA.
Hii ni hadithi ya kweli kuhusu mwanamke aliyekuwa na nyoka wake aina ya chatu aliyempenda sana. nyoka alikuwa na urefu wa mita 4, aliishi naye kwa muda mrefu na siku zote nyoka yule alionekana mwenye afya. Hata hivyo, nyoka alianza kukosa hamu ya kula kwa wiki...
TUNZA MUDA KAMA MBONI YA JICHO LAKO, HUTAKUA KIPOFU WA MAFANIKIO.
SI MVI KICHWANI ZIKUPAZO HEKIMA BALI MUNGU MOYONI HUWAPA WATOTO WAKE HEKIMA.
HAKI NDIO NJIA PEKEE TU YA MAFANIKIO YA MAANA, KINYUME CHAKE PIA NI KWELI.
MAISHA NI GHARAMA, HUWEZI KUKWEPA GHARAMA KATIKA MAISHA. NAAM USIPOLIPIA...
DINI ZOTE ZINATOKA KWA SHETANI
Kama kweli si za shetani kwanini zimeshindwa kuwafanya kuwa watakatifu?
kwanini ni chanzo cha kuvuga amani ya dunia?
Mbona Bwana Yesu hakuleta dini ya kikristo?
Mbona kuna wakristo mashoga?
Mbona kuna wakristo waabudu sanamu?
Mbona kuna wakristo wanaomba omba na...
USIPOKUBALI HASARA ZA FAIDA, HUWEZI KUPATA FAIDA.
Naam kila faida huanza na hasara (KUPOTEZA) na kila hasara huanza na faida (KUPATA) ndio maana watu hujuta na kusema "NILIDHANI NIMEPATA KUMBE! NIMEPATIKANA".
WATU HUPENDA KUSIKIA WANAYOTAKA (YANAYOWAPA RAHA, bila kujali ni sawa au si sawa)...
Huwezi kupata nuru kwa kusababisha giza kwa wenzako.
Huwezi kuwa juu kwa kuwashusha wenzako.
Acha kuwatakia wengine mabaya, nawe utafanikiwa. Usiwe kama MSUZI kazi kunuka tu! Siri ya kushindwa ktk maisha ni KUWA MUOVU.
UOVU ni giza, hutaweza kuona fursa za mafanikio kama UOVU ukitawala fikra...
Mungu anaweza kuponya magonjwa. Mimi mwenywe niliponywa magonjwa mazito sana, pia nimeokoka. Hospitali zilishindwa lakini nilipomwamini Mungu aliniponya. Dada (mwenye ugonjwa) ukiwa na akili nzuri utagundua kwamba ushauri wangu haulengi kukupoteza kama mtu mwingine asiyemwelewa anavyoona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.