Recent content by Professier

  1. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Umesahau halaf awe anakaa Daslam.. 🤣🤣
  2. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana maaan haikuwa rahisi. Hongera sana mkuu. Ukawe mtumishi mwema na muadilifu serikalini.
  3. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daaah hiii kitu inakera balaaa..
  4. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mmekaa sana training naona mtakuwa na maokoto ya kutosha ya training..
  5. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hivi na wizarani maokoto yao yapoje hawa wa degree..?
  6. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daaah kmmk. 😂😂😂😂
  7. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ili mradi jobless wateseke tu.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  8. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sasaiv direct labda kwenda chooni tu. 😂😂😂😂
  9. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wawekewe na practical ndio rahisi kupunguza idadi kubwa ya watu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wanajikutaga special group. Waje wakacheze sasa na matipo choisi 😂😂😂
  11. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Na ukitaka kuhama aisee ni ngumu sanaaa. Huko wanajua kuajiri tu na sio kutoa uhamisho.
  12. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    trc ila bado hawajapangiwa vituo vya kwenda kufanyia kazi.
  13. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hapana mkuu
  14. P

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Hakuna connection 100% kama ukifaulu interview zote ujue kazi umepata. Ila kama kilaza utaendelea kulia lia kila siku. NB: Mitihani ya utumishi sio rahisi hivyo jiandae vya kutosha. Usiseme hatujakwambia. 😀😀
  15. P

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asali Asali ipo ya kawaida sana ila hadi uje uanze kazi utakuwa umeshakaa sana kitaa. Ulizeni wenzenu walioitwa trc tangu mwaka jana mwezi 10. Hadi leo wapo home wanasubiria kupigiwa simu
Back
Top Bottom