nimesoma majibu na comments zinafanana. Jecha ni mbaya na anatumika na CCM!!! sijaona watu wa kujiongeza na kuchambua hali halisi ya sheria na taratibu za uchaguzi wa Zanzibar. Kwani shida kuuuubwa ni nini???Kama CUF na ACT na wengine hawshiriki uchaguzi na watu wao wanjua hilo shida iko wapi...
wao Ccm woooooote ni wezi hatuna muda nao sisi.huyu lowassa aliejipambanua kuwa yeye ni mzalendo tena mpenda watu yeye ndo tunahoji.hayo ya ccm inatuhusu nini sisi??
uzuri ni kuwa alioiba nao na kufilisi nchi hii kwa miaka 50 ndo wanaonyetisha.sisi hao wa ccm hawatuhusu kivile maana wao ndo wasifu wao.lowassa anajipambanua kuwa si mwizi eti mzalendo ndo inakuwa isshu
sidhani km Ccm wanamwogopa lowassa.jamaa ni mwizi mwenzao wameiba miaka nenda rudi pamoja eti leo wamwogope!!!walimkata na wananchi wakamkata na cdm wakampiga dili.
akisema hayo yote ndio nini sasa??kama kuna mtu au watu wannamin i kuwa rais kwenda nje ni hasara hebu ajikumbushe safari za nyerere nje ya nchi kwa gharama za serikali. hakuna rais ambae hatakwenda nje ya nchi na gharama ni kubwa.ishu ya faida kwa tanzania ni mtambuka kwani kuna safari mfano za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.