Recent content by Prof_Adventure_guide

  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta na Gharama za Uongozi: Nani anamlinda Mwananchi?

    Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athari kubwa kwa uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla. Mafuta yanapopanda, gharama za usafiri, chakula, uzalishaji na huduma mbalimbali huongezeka. Hata kama kuna sababu za kimataifa zinazoathiri soko la mafuta, jukumu la serikali ni kuweka sera madhubuti za...
  2. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Vijana na uchumi: Njia za kweli za kujikwamua kiuchumi katika enzi ya gharama kubwa za maisha

    Katika kipindi hiki ambacho gharama za maisha zimeongezeka kwa kasi, vijana wengi wamejikuta wakikata tamaa, wakiamini mafanikio ya kiuchumi yanahitaji mtaji mkubwa, connection au bahati ya kipekee. Ukweli ni kwamba uchumi wa mtu hauanzi kwenye kiasi kikubwa cha fedha, unaanzia kwenye fikra...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mifumuko ya bei Tanzania: Wananchi wanahitaji suluhisho, si maelezo ya kila siku

    Kwa miaka ya hivi karibuni, maisha ya wananchi wa kawaida yameendelea kuwa magumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha. Bei za mafuta zimepanda, na matokeo yake yameonekana moja kwa moja kwenye usafiri, chakula, vifaa vya ujenzi, kodi za nyumba pamoja na huduma muhimu za kila siku...
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania The Elite Betrayal: Jinsi Viongozi Wanavyocheza Kamari na Maisha ya Mtanzania

    Kiintelojia, nchi inapitia mdororo mkubwa wa kiuchumi, lakini hawa viongozi wamebaki kuleta mzaha na sarakasi za kisiasa. These f*cking niggas are out here clowning while the trenches are burning. Hata kama mliingia madarakani kwa mchongo wa kujiteua wenyewe, basic decency ingewasukuma kudeal...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa mazito Tanzania, lakini wananchi hawatakiwi kufanywa wajinga

    Kila siku bei zinapanda. Mafuta yakipanda, nauli inapanda. Nauli ikipanda, chakula kinapanda. Chakula kikipanda, maisha yote yanakuwa magumu. Halafu ukiuliza sababu unaambiwa “kuna vita ya Iran na Israel.” Sawa, vita vinaweza kuathiri mafuta duniani, hilo kila mtu analijua. Lakini swali la...
  6. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania 🚀 Geuza Biashara Yako Kuwa Brand Kubwa Leo!

    Karibu sana wewe unayetaka kuipeleka biashara yako kwenye kiwango cha juu zaidi! 🚀 Kama una ndoto ya kuwa na website ya kisasa, yenye mvuto na inayouza kwa niaba yako masaa 24, basi huu ndio wakati wako. Tunakusaidia kuunda website za biashara na za utalii zenye ubora wa hali ya juu...
  7. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Oktoba 29: Hatma ya Watanzania na Mustakabali wa Tanganyika Yetu

    Tarehe 29 Oktoba imebeba uzito mkubwa katika historia ya Watanzania. Ni siku inayochochea hisia, matumaini, hofu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa taifa letu. Kwa uhalisia, hatma ya Watanzania haitegemei tukio lenyewe pekee, bali namna tunavyolielewa, tunavyolishughulikia, na maamuzi...
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tanzania tajiri, Wananchi maskini– What is going on?

    Ukiangalia Tanzania kwa macho ya wazi bila ujinga, bila woga, bila kuogopa nani atasema nini, utajua huu ni mojawapo ya nchi tajiri sana duniani, sio Afrika tu, hata baadhi ya nchi za Ulaya tumewazidi big time. Tuna nini? Madini: Dhahabu, almasi, nickel, lithium, uranium, tanzanite (ambayo ni...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita Imeua au Inaminya Soko la Utalii Tanzania?

    Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Usanii wa Serikali na mauti ya Wasomi: Masters yangu imekuwa kitambaa cha deki mtaani

    Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery. Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba. Hii...
  11. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Hii ni message kwa ma-snitch na ma-clown wanaocheza na maisha yetu – we’re done with this bullshit

    wassup ma-niggas mlioko kwenye hili jukwaa! Inabidi sasa tuongee lugha moja maana hii straight-up fuckery inazidi kimo. Tunakaa kimya mnadhani sisi ni dead bodies? Mnatuona kama sisi ni lame-ass puppets mnaoweza kutuvuta kamba mnavyotaka? Hell no, man! Tumeshastuka na huu usenge wenu! Mnatupiga...
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania The great schism: hii serikali ni straight up trash na sisi vijana tushawakata chama kwenye hii mutual disregard!

    Ukweli ni kwamba tushafika point ya no return ambapo kuna total breakdown ya mawasiliano kati ya mtaa na hawa jamaa wa juu. Hii serikali is full of it, wamekaa kwenye viti vyao wakijiona ni untouchable huku mtaani vijana tukisota kinyama. It’s a mutual delegitimization process, yani kifupi we...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wakuu bado natafuta kazi, na maelezo yangu ni hayo kwenye tangazo hapo chini

    Mtu wa maana kabisa huyu Mtu wa maana kabisa huyu
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wakuu bado natafuta kazi, na maelezo yangu ni hayo kwenye tangazo hapo chini

    Njooni mchukue mtu wa maana kabisa huyu!
Back
Top Bottom