Yani to reach consensus ktk swala lazima tuwe broader perspective kuwa na chet tu haitoshi kunawatu wanavyeti halali lkn hawako competent kabisa kwahiyo sio kwa mtazamo huo aliozungumzia askofu swala la elimu ni pana sana kuliko areas alizo sights huwezi kubeza Mwl na changamoto alizonazo ingawa...
Wadau mm naomba kuuliza kuwa mm nahitaji kupiga kama pc PGM na Nina point 8 . lkn nimemaliza 2010 nikaenda kusoma egm mwaka huohuo nikaunga chuo nimemaliza lkn nataka kupiga 6 tena kwa kombi ya pgm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.