Recent content by pro12membe

  1. pro12membe

    Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango Kanda ya Ziwa akamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu

    achaa basii mtoto wa 2004 wakiumee nii mdgo mnoo kwa mbele huyuu sawa na mtoto wa miaka 16 au 17 tuu
  2. pro12membe

    Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

    Na wasiwasi na mwandishi kuwa anatokewa kigoma, haiwezekani kabisaa asiiweke wakati inaweza kushika namba moja au mbili kutokana na vumbii lakee,😂😂😂
  3. pro12membe

    Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

    Hahahah 😆 😆 piaa nii Vzur usijaari fanyaa maamuzi naa panga mipango umrii mdogo sana uoo chukuaa hatua now with in 3 years utakuwa mbalii sanaa
  4. pro12membe

    SoC04 Benki Kuu (BoT) ifanyie kazi maendeleo ya Sarafu za mtandaoni na serikali ipitishe matumizi yake Nchini

    Soon itaingia sokoni umeona mbalii sanaa,bro , Openmainet ipo karibuni kufunguriwa na watuu hawatamini machoo yao juu yaa hilii ,, vijana wadogo watakuwa ma Billionaire kwa muda mchache sanaa . Na watakuwa wameuagaa ukata tayari.
  5. pro12membe

    DOKEZO Responded Soko la Kijichi (Temeke) limejengwa kwa Mamilioni ya mkopo wa Benki ya Dunia lakini halitumiki, nini hatima yake?

    Daaaah 😂 😂 nakumbukaa sana walianza kwa morarii kubwaa s Daah nakumbukaa 😂 🤭 walianza kwa morari kubwaa saana na kuhakikisha magari yotee ya mikoanii yanaishiaa kijichii kule bondeni naa sio mbagalaa terminal tenaa,, ilii wakuzee stendi yao .haikuchukua hata miezi sitaa ,, watu waakadai kulee...
  6. pro12membe

    Filamu gani ya kutisha Ilikubamba sana enzi hizo?

    Hahahah 😂 😂 sawa bhnaa
  7. pro12membe

    Filamu gani ya kutisha Ilikubamba sana enzi hizo?

    Ukiwa unasema jambo basii mpee na ushahidi na evidence za kutosha 😂 😂 😂 kwann aache chuo ,, na umpe elimu ya kutosha ya kujikwamua huko kitaaa mtoto wa watu mda huoo hanaa boom tenaa sasa wala capital Waache vijana wasome japo tupunguzee ujinga kdg na kuongeza rate ya wenye degree hata kama...
Back
Top Bottom