Recent content by Pro Biznesi

  1. Pro Biznesi

    Je, ukipokea pesa kutoka nje ya nchi kunamakato ya kodi? Ni lazima ukatwe kama mtu wa mshahara?

    Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
  2. Pro Biznesi

    Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

    Wataalamu wa biashara na uchumi...nipeni mawazo yenu...
  3. Pro Biznesi

    Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

    Najua hii ni mada maarufu na nyeti kwa baadhi ya watu. Sababu ni kwamba Forex ni biashara ya kimtandao Na nahitaji ushauri kama yupo mtu ambaye alishawahi kufanya kufanikiwa hii biashara ya mtandao ya Forex Trading. Niambieni je ni kweli inaweza kumtoa mtu kwenye umaskini?
  4. Pro Biznesi

    Maisha chini ya dola moja?

    Je, ipo siku ulishawahi kuishi chini ya dola moja? Maisha yanaendaje hapo? Unampa ushauri gani mtu anayepitia kipindi kigumu hivyo? Afanye nini ili aweze kutoka hapo ajikwamue maisha yake na umaskini?
  5. Pro Biznesi

    Umeme wa Bure: Kutengeneza Umeme wa Sumaku (Sehemu ya 1)

    Acha ushamba....Wewe hujui kila kitu... Fanya utafiti
  6. Pro Biznesi

    Kipi kitangulie? (Sehemu ya 1)

    Kati ya Kazi (Ajira) na Ndoa... Kipi kitangulie na kwanini?
  7. Pro Biznesi

    Pesa ni Mfalme wa watu wote

    Najua mada hii inaweza kuwa nyeti kwa baadhi ya watu, hivyo basi samahani sana kwa mtu atakayekereka. Katika vitu vinavyojulikana sana duniani, Pesa inashika nafasi ya kwanza, sababu hadi watoto wa chekechea wanajua umuhimu na matumizi ya pesa kuridhisha hamu zao kununua vitu vya kumung'unya na...
  8. Pro Biznesi

    Umeme wa Bure: Kutengeneza Umeme wa Sumaku (Sehemu ya 1)

    Kuna Aina nyingi za kuzalisha umeme duniani. Na baadhi ya njia ambazo zimezoeleka ni kama vile, umeme wa maporomoko ya maji, umeme wa upepo, umeme wa jua, umeme wa makaa ya mawe na umeme wa nuklia. Hizi Aina za umeme zote zinategemea matumizi ya rasilimali ghafi ili kama vile maji, jua na makaa...
Back
Top Bottom