Kwa upende wangu Nikisema ni Jitahidi kukumbuka Hata 30+ ila wengi nimewasahau majina adi sura ni wengi kias kwamba Nina uwezo wa kukutana nao nikawataman Tena maana nakuwa siwakumbuki
Hii Changamoto niliwai kukutana nayo pale shule ya kibasila gari la buza makumbusho konda alikataa wanafunzi kwa sababu hawana pesa hivyo nilichukua jukumu la kuwalipia wanafunzi wale Nauli kiukweli wanateseka sana wanafunzi kama Kuna Namna wanaweza kusaidiwa basi wasaidie makonda Wana nyanya...
Kosa langu la kwanza kuamini moyo, kwenye Dunia ya mapenzi isiyompa makazi ya kudumu mwanaume asiye na pesa.
Kosa la pili kuishi kimazoea, dhidi ya kiumbe niliyetakiwa kuishi nae kwa akili.
Kosa la tatu niliamini naweza kumtuliza kwa kumjali sana.
Na kufuata maagizo ya jando ninapokuwa nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.