Baada ya sarakasi za kuahidi kuwa watatoa uhamisho mara 4 kwa mwaka, sasa wamekuja na ESS wakati watumishi wamepoteza nauli na usumbufu mwingi ili kukamitisha paper work ambazo tayari TAMISEMI wanazo.
Kinachofanyika ni wizi na rushwa maana watu wanaotoa rushwa wanahama na vibali vinatoka. Huu...
Nategemea kuhama na nimekamilisha taratibu zote. Nasubiri majina kwenye ubao wa tovuti ya TAMISEMI lakini sioni kitu.
Cha ajabu hapa kazini kwangu, watumishi wapya tunawapokea wakiwa na Uhamisho kutoka nje ya MKOA. Nataka kujua anayepokea hizi rushwa TAMISEMI na Mimi nimpelekee anihamishe.
Ni miezi sasa watumishi wanaotaka kuuza deni kutoka NMB kwenda mabenk mengine wamekuwa wakicheleweshewa balance zao ili tu kusudi wasikope huko kwingine isipokuwa NMB.
Watumishi hawa wana mipango mingi na hiyo mikopo wanayotaka kuichukua, na hivyo wataongeza mzunguko wa pesa mtaani.
Mathalani...
Mnahujumu uchumi wa nchi kwa kuwacheleweshea watu balance statements hasa wanaotaka kuhamisha deni. Hamtaki watu wawahame huku mkilazimisha indirect wasiuze madeni yenu. Ni failed technique
Nataka gari ya kwenda nayo ofisini, nikitoka nipige uber niingize fedha. Nataka private ya kukodiwa sometime viroute vifupi vya km 300 -400 na kurudi mjini.
.1. Wish
.2. IST
.3. Raum
.4. Passo
.5. GX 100
.6. Mark X
Ipi itafaa kwa Mwanza hii.??
Hujui unachokitetea na hujui kinachoumiza wenzio. Nahisi kuna kitu hukuelewa, hicho ambacho hukukielewa ndicho kinachotugusa wenzio. So piga kinywa mzee. Tuliza gorori tuongee tuliopo kwenye majiji tunaoguswa na tamko, wewe wa Mbinga huko Makete vunga tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.