Recent content by Private detective

  1. Private detective

    Kuvaa vibaya na ukimwi

    Achana nayo kafanye mishe nyingine tuuu
  2. Private detective

    MSD kuna wizi wa madawa na vifaa tiba unaofanyika wilayani Serengeti (Mugumu)

    Niuchambue kidogo,Mimi ni superintendent wa pharmacy fulani Arusha sikuambii wilaya gani hizi habari zinatokea karibu nchi nzima uchunguzi ukifanyika inaonekana sio kweli boss wangu aliwahi kutajwa kwa kiongozi fulani kwenye mkutano wa hadhara lakini zilikuwa ni fitna biashara inamambo mengi...
  3. Private detective

    MSD kuna wizi wa madawa na vifaa tiba unaofanyika wilayani Serengeti (Mugumu)

    Kaka ukaguzi unahatua zake nahisi hao unaowataja hawana vigezo vya kukagua taratibu za ukaguzi zipo na zinajulikana nikusahihishe nahisi huzijui taratibu,lakini Kama unauthibitisho wowote ambao unaweza kusaidia kubaini uovu huo peleka mahali husika sio kutamba unarisiti wakati sehem ambapo items...
Back
Top Bottom