Recent content by Priscuse

  1. P

    Maandamano Makubwa kupinga mapingamizi, mbinu 999 kutumika

    Wengi wenu hapa bado mnaota...kitu watakachofanyiwa ukawa na ccm kwenye uchaguzi huu itakuwa historia..wenzenu walikuwa wanaandikisha wapiga kura wao kwa mbinu za kila aina nyie mlikuwa mnashabikia Escrow
  2. P

    Kafulila na Zitto walivyoangamiza UKAWA, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia ESCROW

    Tuikatae CCM tumchague nani??? Nchi aijaribishwi kwa itikadi za ukanda..CCM DAIMA
  3. P

    Ufisadi wa bilion 450: Dili ya Treni mpya Airport kwenda Mjini

    Sasa nani kasaini mwakyembe au kikwete mbona ueleweki
  4. P

    Kwa mara ya kwanza nimejifunza ni kwanini Wageni wanalilia sana Nchi Yetu!

    Yaani majitu mengine sijui yamezaliwa chooni...mtu katoa mada hapa wewe unamtukana?? Kwa kweli mtaishia kushinda kwenye facebook na vijiwe vya kahawa huku mkitegemea chadema wakichukua nchi watagawa pesa barabarani..MABWEGE
  5. P

    Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

    Dah.....atimaye joka limejuvua gamba na kujitokeza hadharani...VITALU VYA GESI NI SHIDA
  6. P

    Werema, Muhongo: Tunasubiri neno la Rais tuachie ngazi

    Siasa za maji taka...yaani nyie mtumie umeme wa IPTL kwa muda wote huo bure na bado mseme pesa zote ni za serikali??? Sijawahi kuona ulevi kama huu??kama ni za serikali kule zilikuwa zinafanya zisikae hazina?? Hapa kuna haya...1.MBIO ZA URAIS 2015 2.UGOMVI WA WALIONYIMWA VITALU VYA GESI NA...
  7. P

    Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

    Haya thibitisheni sasa muhongo katoa yake? Mnadandia treni kwa mbele....
Back
Top Bottom