ndio kwanza tuna mwaka na tuna mtoto mmoja.hajawahi kunionyesha kuwa amenichioka,na nikiri kwamba ananipenda na kunijali sana.ananipa kila kitu kwa kadri ya uwezo wake,weekends kama haendi chuo basi huwa anashinda nyumbani,hajawahi kuilala nje na anajali familia. hata sakramenti ya ndoa iko pale...