Recent content by princess13

  1. P

    JamiiForums Tanzania London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

    Pepo where,when,how,huko kuua wenzenu wasio na hatia kila kukicha ndio Pepo mnayofundishwa,kiruuuuuu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi gani wa Serikali wanalipwa house allowance?

    Mhh nakubaliana na hizo allowances Kwa Askari police,lakini Askari mwenye madaraka ya uOCD kawaida halindwi bana,huyo sista wako anachofanya sio kuwafanya askar wamlinde haipo kabisa anaelindwa nyumbani na askari ni RPC tu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mbona kwarezma watu wanafunga na wala hawawakatazi wengine kula?

    Bunch of idiots [emoji57]
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

    Mpeleke hosp zinazohusika na autism,mbona wanakaa Sawa baada ya muda,pia kuna shule zao kuwa mtafiti ingia mitandaoni search shule zao zipo wanawatrain wanakua Sawa ingawa inachukua muda,pia uwe unamkeep busy na vitu vya kuchezea yaani toys vya kuchangamsha akili
  5. P

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Mhhh kama mkinga basi...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    She is a devil [emoji48] in human flesh,Hana utu,so sad Kwa watoto wake,Mungu awaepushe wasijebeba laana za mama Yao. Bora hata Boke amemkataa kama na yeye alivyomkataa mama yake mzazi ,what goes around comes back around
  7. P

    JamiiForums Tanzania Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Yaani kabisa mtu na akili zako timamu unaajiriwa na mange,lol
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Niko zangu US nimekunja 4,khaa,devil in human flesh
  9. P

    JamiiForums Tanzania Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Hahahaha kilikuja Kwa Meli[emoji1]
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Daimond platnumz kajisemea ukweli,wengine umbea,kubully watu ndio wanapata riziki zao,sasa huyu bi kidude anasema eti hawezi kutaja source Bora awe jobless,khaa
  11. P

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

    Ila nyie watu sijui ni wivu au nn,kama ni hivyo basi hao baby mamas wa Ruge wote Wana Ngoma,kuanzia Zama,Yule mke WA Romyjones na wengine,khaaa acheni wivu bn
  12. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Makonda ndio wakuishi kama digidigi kweli?

    Uzi wa kinafiki,Makonda anaendelea na shughuli zake kama kawaida
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wanasheria wa Tigo na Airtel ikumbushe wenye mamlaka kutunza siri za wateja ni muhimu kujenga sekta imara ya benki na mawasiliano

    Yaani mi nashindwa kuwaelewa watu,inamaana kama kuna gaidi linataka kulipua nchi asifuatiliwe mawasiliano yake kisa usiri?hakuna kitu kama hicho na mkumbuke kuna taasisi zilizopewa mamlaka haya kisheria ambao ni Polisi,Takukuru,hawa wanauwezo wa kuchunguza au kufuatilia kama kuna Jambo...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Arusha tuliujua Kama mji wa kitalii ila kwa niliyoyaona umekuwa mji wa machinga toka Dar

    Woiiii,barabara ya kwenda Unga limited sasa kuanzia hapo Friends corner ndio balaa
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hongera nyingi sana kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Amos Makalla, umeweza

    Safi sana,Arusha ifuate mfano sasa manake hakufai
Back
Top Bottom