Ahsanteni kwa ushaur wenu mzur wote mlionishauri,mungu awabarik wote mmenishaur vzuri Super Handsome ht iyo pr naipenda sana mungu akinijalia ntajarbu upand huo
Habari wana JF wenzangu,
Nimehitimu kozi ya uandishi wa habari na mawasiliano, nahitaji msaada japo wa idea ya where i can get a job au hata kama kuna nafasi ya kazi mnaifahamu juu ya haya mambo.
Yote kwa yote hata kama ni kazi yoyote ya social science ambayo haihusiani na nilichosomea naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.