Recent content by Prince_Nurudin_Tz

  1. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Sio hivyo tu Hata pepo ya mtoto ipo chini ya wazazi wake Ambaye mmoja ni mwanamke
  2. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Saudia na Indonesia hio sheria ipo na watoto wa miaka 9 hawaolew mbona Ila ninacho kwamba ni kuwa sheria haija sema kuwa mtoto wa miaka 9 ni lazima aolewe Kwa kuwa wewe ni mkristo umeshikilia Apo kuchafua waislam Naishia apo
  3. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Mimi mjinga sawa Ila nikupe mfano mwepesi Kenya mirungi ni halali ila Tanzania ni halamu Ila Tanzania nayo ikibadili sheria na kusema mirungi ni halali Haita maanisha kuwa wa Tanzania tunatakiwa tele mirungi
  4. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Hio sheria haija sema ni lazima mtoto wa miaka 9 aolewe Elewa hilo Ni kama wewe kuolewa ni makubaliano yako na anae kuoa
  5. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Kwani hio sheria ina sema ni lazima mtoto wa miaka 9 aolewe au Maana ndoa ni jambo la makubaliano kati ya muowaji na muolewaji Na kuna taratibu zake zakufwata
  6. Prince_Nurudin_Tz

  7. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Kagera sugar

    Makundi yapi sasa Au ya wasap
  8. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Saa ngapi mkuu
  9. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba SC ikitandikwa na CS Costantine

    MECHI 2 Goli 1 Assist 1 Nitajie mchezaji mzuri Mwenye takwimu zaid ya hizi Ntakuelewa
  10. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Thanks
  11. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Simba kushinda Algeria ni ndoto za mchana

    Pole aisee
  12. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Yanga sc ndio timu ya kwanza kufungwa toka kampuni ya tigo kubadilisha jina

    Hapana ni -Ubaya ubwela
Back
Top Bottom