jamani acheni kunichafulia mimi nina nia nzuri na si after money,kama una hitaji mahaba nipe contact zako kwenye hiyo email yangu,nina mapenzi ya dhati na ndio maana sitaki kuachwa kwaajili ya pesa.
Mimi ni kijana handsome niko Dar ninafanya kazi kwenye kampuni binafsi nahitaji mpenzi wa kike ambaye anaye taka mapenzi matamu ya kweli na mwenye mapenzi ya kweli mwenye umri kuanzia miaka 18-32 awe anajishuhulisha na awe na uwezo kifedha.
nimesema hivyo sababu nimewahi kuwa na mpenzi niliye...
Simu zinauzwa ni simu mpya kabisa zikiwa hazija tumika na zikiwa kwenye box lake pamoja na accessories zake zote kutoka kiwandani ni simu za kisasa zenye operating system "Android 4.0 ikiwa na internal memory 120MB,camera 3.2MP pia ina flash,Blueetooth,Wi-Fi na kadhalika.ili kuipata...
Nauza laptop mtumba kutoka canada aina ni ibm kama inavyo onekana bei tsh.280,000 tu.
specification
1.hard disc 40gb
2.processor 2ghz
3. Ram 512mb
inasifa ya kuhifadhi chaji kwa muda mrefu
kama waihitaji piga 0719 147503
Hizi ni baadhi ya kazi nilizo zifanya zipo nyingi nyingi sana mudamwingi nikiwa nimetulia nyumbani huwa nina design vitu mbalimbali ila kati ya hizo apo juu niliyo ifanya kikazi na kuuza ni GSM SOLUTION,SEMBE BORA NA KILIMANJARO SUPERMARKET.
Niunge mkono ukinipa kazi nitaifanya vizuri zaidi iwe...
Hizi ni baadhi ya kazi nilizo zifanya zipo nyingi nyingi sana mudamwingi nikiwa nimetulia nyumbani huwa nina design vitu mbalimbali ila kati ya hizo apo juu niliyo ifanya kikazi na kuuza ni GSM SOLUTION,SEMBE BORA NA KILIMANJARO SUPERMARKET.
Niunge mkono ukinipa kazi nitaifanya vizuri zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.