Recent content by PRINCE MWABU

  1. PRINCE MWABU

    JamiiForums Tanzania Siamini katika Siasa za unafiki, Polepole unakosea sana we pamoja na kikundi nyuma yako! Tunajua yote haya

    Hii Habari ni nyeti na ni nzito katika Mataifa yenye Mifumo mizuri ya Utawala
  2. PRINCE MWABU

    JamiiForums Tanzania Siamini katika Siasa za unafiki, Polepole unakosea sana we pamoja na kikundi nyuma yako! Tunajua yote haya

    Sasa Kimeumana,hadi kufika wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025,nidhahiri tutasikia mengi-Kazi Iendelee!!!
  3. PRINCE MWABU

    JamiiForums Tanzania Mwanachama mpya

    Asante sana Mkuu
  4. PRINCE MWABU

    JamiiForums Tanzania Mwanachama mpya

    Asanteni wakuu
  5. PRINCE MWABU

    JamiiForums Tanzania Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

    Tusibate taabu sana na mawazo ya aina hii,kuna watu wanachochea mawazo hasi ili wengine WASIJARIBU -KILA KITU DUNIANI NI KUJARIBU-BILA KUJARIBU HATUWEZI KUPATA MAFANIKIO-Tukumbuke kuwa kuanzia Mwaka 1989 baada ya kuvunjwa kwa UKUTA WA BERLIN,kiuchumi Dunia ilianza upya,tuliingia rasmi katika...
  6. PRINCE MWABU

    JamiiForums Tanzania Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

    Ingawa nimejiunga HIVI karibuni humu ,nimepitia post nyingi nimeona hali hi ya kupinga Kila kitu ipo sana-hiyo inaitwa"THE PESSIMISTS SEES THE DIFFICULT IN EVERY OPPORTUNITY AND THE OPTIMISTIS SEES THE OPPORTUNITY IN EVERY DIFFICULT-Aliwahi kusema WINSTON SPENCER CHURCHIL Waziri Mkuu wa UK
  7. PRINCE MWABU

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu crypto currency mtu hawezi kukuambia

    Nakupongeza Mkuu Pain Killer kwa Maarifa mazuri,Niko kijijini nalima MAPARACHICHI nasubiri Milioni 900, Kisha nirudi mjini(DCC) ,NITAKUTAFUTA !!!!!
  8. PRINCE MWABU

    JamiiForums Tanzania Mwanachama mpya

    Hodi humu ndani, naitwa PRINCE MWABU. Nawapongeza wote wadau wa Jamii Forums, najiuliza kwanini wadau wanavunja sheria na kanuni za jukwaa wakati ziko wazi? Hasa suala la kutumia lugha ya kuudhi, lugha zenye ukakasi, kashfa, vijembe na kejeli. Haipendezi na siyo afya kwetu sote. KAZI IENDELEE!
Back
Top Bottom