Recent content by Prince Mellance

  1. Prince Mellance

    SoC02 Serikali ya dunia ni nini na kwanini tuipiganie?

    Serekali ya Dunia ni serekali itakayo unganisha watu wote na kuikomboa Dunia na kufanya Dunia nzima tuwe kitu kimoja na kuwa na nguvu sawa pamoja na maendeleo. KWA NINI TUWE NA SEREKALI YA DUNIA? Serekali ya Dunia ndio suluhisho pekee la Dunia na itakayo ikomboa Dunia na watu wote kuishi vizuri...
  2. Prince Mellance

    Ni makosa makubwa tunafanya kundelea na huu mfumo wa elimu ambao

    Samahani nimeona kwa kuwa ni kitu cha umuhimu sana na kitu kinaniumiza kila sku naamini tukijaribu kuongea au kupost sauti kila mahali zetu zinaweza kusikika. Ila pole sana kiongozi.
  3. Prince Mellance

    Ni aibu na ukatili kuacha watu wasio na makazi kulala nje

    Shida kubwa aipo katika usawa na haki akuna usawa katika kuongoza nchi yani mammuzi yote wanafanya wao. Hao wabunge ndio waziri atuna anaetuwakilisha pia demokrasia sio kuchagua viongozi maamuz ya kodi na mengine anayetoa kuna ushirikwishaji wowote kutoka kwa dau au wataalam au tasisi...
  4. Prince Mellance

    Ni aibu na ukatili kuacha watu wasio na makazi kulala nje

    Kama inafika mahali unaona bora watu walale nje au unaona ni sawa waendelee kuishi kama ilivyo huo sio ubinaadamu. Kama aumii kuona watu wanalala nje jua mvua vumbi awana pa kuoga wala kujisaidia unaona ni sawa ni maisha yao wamechagua na wanaishi vizuri kwa macho yako unaona hilo liko sawa...
  5. Prince Mellance

    Ni aibu na ukatili kuacha watu wasio na makazi kulala nje

    Asante kwa maoni yako. Sisemikila mmoja ajengewe nyumba nachosema kuwe na sehemu maalum iwe ni kama hyumba isiwe na vyumba kama kama hall kuwe na vitanda na vyoo n.k. Ni kwa faida yefu sote mtu akilla nje ni hatari kwake na kwa jamii nzima Kuanzia afya yake vumbi, uchafu hana pa kuswaki au...
  6. Prince Mellance

    Ni aibu na ukatili kuacha watu wasio na makazi kulala nje

    Shida sio kuwapa pesaa ninachokiongea kila miji iwe na sehemu maalum ya watu wasio na makazi kulala. Ni kwa faida ya jamii nzima kwa sababu utawaepusha na magonjwa, ata uchafunzi wa mazingira pia watakuwa wasafi wanaoga au kupiga mswaki yani mtu asiishi kama mnyama. Pia ni rahisi kama...
  7. Prince Mellance

    Ni aibu na ukatili kuacha watu wasio na makazi kulala nje

    Asante kwa maoni yako. Afrika homeless sio tatizo kubwa kwa sasa hivi sana liko nchi za ulaya ila sku zinavyoebda tuanvyozido kukua litazd kuongezeka. Kwa sababu uke undugu na ujamaa unakufa. Mtu kulala nje hasa barabarani kwa ambao awana pakulala ni hatari kwa jamii sio kwa wao wenyewe tu...
  8. Prince Mellance

    Ni makosa makubwa tunafanya kundelea na huu mfumo wa elimu ambao

    Au ukisoma hii nmeandja kwa kirefu utaelewa Vyuo vikuu wanafundishwa na wakufunzi ambao awana uzoefu wa kazi yani mtu anakufundisha ukafanye kazi ikiwa yeye mwenyewe ajawahi fanya kazi. Hii imetengeneza elimu kutokuwa na uhalisia maana wengi wanaomaliza awaminiki kufanya kazi moja kwa moja kwa...
  9. Prince Mellance

    Ni makosa makubwa tunafanya kundelea na huu mfumo wa elimu ambao

    Hapana sijuutii kusoma au kitaa akijanipiga wala sina huyo mwanamke kinachoniumiza ni hii system iliopo. Ni mzigo kwa wanafunzi na ni mzigo katika jamii yote. Atuwezi kuwa na wataalam ambao wamefundishwa na watu wasio na uzoefu wa kazi. Naamini tunaweza kuboresha elimu ikawa nzuri zaidi na...
  10. Prince Mellance

    Ni aibu na ukatili kuacha watu wasio na makazi kulala nje

    Hiyo tiba ya akili iutawapa wakiwa wapi? Ni mpaka kwanza uwe na sehemu maalum inakuwa rahisi kuwafikia na kuwapa ushauri. Kwanza akuna chumba cha 1500 na pia hiyo hela unaweza akuona ni ndogo kwako wengine ni kubwa. Mfano hao wanopasua mawe kokoto ndoo ni mia tano mpaka aiajaze na bado ajala...
  11. Prince Mellance

    Ni makosa makubwa tunafanya kundelea na huu mfumo wa elimu ambao

    Vyuo vikuu avipo kwa ajili ya kutoa muongozo vipo kwa ajili ya kutengeneza wataalam. Ni kweli uwezi jifunza kila kitu ila hauwezi kutoa muongozo wa kutengeneza wataalam ikiwa wewe mwenyewe ujawahi kifanya kazi auna experience yoyote ile ya kazi zaidi ya darasani. Matokeo yake tunazaidi...
  12. Prince Mellance

    Ni makosa makubwa tunafanya kundelea na huu mfumo wa elimu ambao

    Wakufunzi "leacture" awana uzoefu wa kazi alafu wafundishe watu kazi. "proffesion" Huku ni kufanya elimu kukosa uhalisia na wanafunzi kusoma vitu vingi ambavyo ni useles sna vya muhimu wanaacha hadi apelekea kutoaminika kujifunza upya makazini. Au Watoto wote kujifunza kitu kimoja na kufanya...
  13. Prince Mellance

    SoC02 Ni aibu na ukatili kuacha watu wasio na makazi kulala nje

    Wengi wetu sisi hatuna "makazi" ni homeles au watoto wetu au ndugu zetu wenye miaka 18+ na kuendelea. Ni jambo la kawaida kwa wakati fulani kukosa makazi sio kila mtu anabahati ya ndugu au wazazi. AKUNA NAMNA TUNAWEZA KUONDOA KABISA ASIWEPO MTU ASIWE NA MAKAZI YANI HOMELESS ILA TUNAWEZA...
  14. Prince Mellance

    Ni aibu na ukatili kuacha watu wasio na makazi kulala nje

    Wengi wetu sisi hatuna "makazi" ni homeles au watoto wetu au ndugu zetu wenye miaka 18+ na kuendelea. Ni jambo la kawaida kwa wakati fulani kukosa makazi sio kila mtu ana bahati ya ndugu au wazazi. Hakuna namna tunaweza kuondoa kabisa asiwepo mtu asiwe na makazi yani homeless ila tunaweza...
  15. Prince Mellance

Back
Top Bottom