Recent content by Prince Habby

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mambo 31 unayotakiwa kuangalia pindi uandikapo CV

    Okay Thanks Much, best Regards
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mambo 31 unayotakiwa kuangalia pindi uandikapo CV

    Kiongoz umejitahidi kueleza vizur nin cha kufanya na nn hakifai, ila kwang kuna contradiction kidgo kuhus utofaut wa CV na resume. Hiv ni vitu viwili tofauti au ni sawa, na kam ni tofauti, utofaut uko wap
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada Kazi zinazotangazwa hasa za Mashirika ya kimataifa na Balozi

    Nilijua ni mimi tu, kumbe tuko wengi tunaotaabika na Hizo post. Hataaarr
  4. P

    JamiiForums Tanzania Internship or Volunteer on Environmental Agencies

    Bado cjapata kwa kweli
  5. P

    JamiiForums Tanzania Binti wa stationery anahitajika

    Kiongoz kuna dada yupo, anajitaji Hiyo kazi, sema kwa sasa anajishikiza kweny kastationary moja hiv, kama upo serious sema nikupe contact zake uweze kuwasiliana nae
  6. P

    JamiiForums Tanzania Je unatumia vipi ukurasa wako wa mitandao ya kijamii

    Mkuu, vip mbna nashindwa kujaza Taarifa muhim kweny Profile yangu, kuna baadhi ya sehem zinasumbua kujaza information hasa kipengele cha education
  7. P

    JamiiForums Tanzania MSIMU WA EMBE?

    Mchai chai toka Lini umekua kias hicho labda Mkunazi
  8. P

    JamiiForums Tanzania Looking for part time Job

    Hey Members Hope you are good at all Am looking for for part time Job in any category Am good at computer skills, Microsoft Office, blogs design and website updates Am able to work under minimum supervision with high quality products Am also available for internship or Volunteer on...
  9. P

    JamiiForums Tanzania MSIMU WA EMBE?

    Lakin mbna kam sio mti wa maembe au macho yangu yanashida
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ongeza Spidi katika Smartphone/Tablet Yako

    Kiongoz mm nina shida moja hap inanisumbua kichwa, Nina HUAWEI Y360 sasa hii simu ni product ya Vodacom nikiwa na maana ya kwamba, hii simu ni double line, ambapo lain namba1 ni closed kwa Vodacom tu, ni locked na ukiweka lain nyngn tofauti na Vodacom, inahitaji unlock code. Kinacho niumiza...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Air Tanzania

    Mmmh da-fame /kamtande ama nakosea
  12. P

    JamiiForums Tanzania Internship or Volunteer on Environmental Agencies

    Kwa nn kiongoz
  13. P

    JamiiForums Tanzania Internship or Volunteer on Environmental Agencies

    OK nashukur kwa hilo
  14. P

    JamiiForums Tanzania Internship or Volunteer on Environmental Agencies

    Sina kingne zaid ya hicho kwa sasa, labda msaada wako tu ndio utakao niinua ila naaamin kwa maarifa nilonayo sitakuangusha
  15. P

    JamiiForums Tanzania Internship or Volunteer on Environmental Agencies

    Nipo na copy ya final desertation nilotoka nayo chuo
Back
Top Bottom