Je unatumia vipi ukurasa wako wa mitandao ya kijamii

Aug 17, 2016
73
39
-Facebook,,-Instagram,,-Twitter,,-LinkedIn,,
-Je WAJUA Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yanaweza kukukosesha kazi?
Katika kumchagua mwombaji kazi, waajiri hufuatilia taarifa zako kutoka katika kila kona za mitandao wanapoweza kulipata jina lako.Kisha kuchunguza ni kwa vipi unatumia mitandao. Epuka matumizi mabaya yanayoweza kukuletea mtazamo hasi kwa waajiri kuhusu wewe na kukusababishia kukukosesha nafasi nafasi ya kazi.

CVPEOPLE AFRICA TANZANIA NI WAKALA NAMBARI MOJA WA AJIRA AFRICA NZIMA. IKIWA NA UMRI ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI. NI WAKATI WAKO SASA KUJISAJILI NASI BURE KUPITIA TOVUTI YETU .NA KUWEZA KUCHAGUA AJIRA UIPENDAYO. CVPEOPLE AFRICA HAITOZI JOBSEEKER GHARAMA YOYOTE. EPUKA MATAPELI.
 
Hiyo agency yenu ina nafasi zipi kwa sasa mkuu i,e CV people africa (t) ltd
 
MATAPELI HAO NDO MAANA TITLE YA MADA TOFAUTI NA ULICHOANDIKA
Habari,
CvPeople Africa sio MATAPELI na sindani kama ulishawahi kukutana na habari yoyote ya kitapeli kutoka kwetu. Tuna zaidi ya miaka 20 katika soko la ajira. Tulianzia nchini Zimbabwe ni miaka miwili iliyopita ndipo tulipofungua ofisi Tanzania. Ofisi zetu nyingine zipo Zambia, South Africa, Kenya and Uganda. Unaweza kutembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi. Hii itakusaidia kuodoa mashaka na wasiwasi juu yetu. Tunafahamu sio kosa lako ila ni kutokana na mfumo halisi wa Tanzania bado Recruitment agencies hazijazoeleka. Unakaribishwa kujifunza zaidi kuhusu CvPeople ili kuelewa zaidi.
 
Kuna wale wengine mwisho wa siku unaambiwa uende kwenye usaili lakin kabla ya usaili unatakiwa kutuma pesa ya kusajiliwa
 
Tuko pamoja sana mkuu....ngoja tujaribu mimi tayari with 100% profile complete.
 
Nimetuma maombi kama mara 2 ivi kwenye kampuni yenu ila sijawahi pata majibu mpaka leo
 
Mkuu, vip mbna nashindwa kujaza Taarifa muhim kweny Profile yangu, kuna baadhi ya sehem zinasumbua kujaza information hasa kipengele cha education
 
Kuna uhusiano gani kati ya matumizi mabaya mtandao na kampuni yenu?
Candidate anayefaa akipatikana mwajiri hupitia hatua mbali mbali kabla hajamchukua. Mojawapo ni back ground check hapa huweza kumchunguza candidate kupitia watu wanaomfahamu au aliowahi kufanya nao kazi pamoja na kumtafuka katika mitandao ya kijamii. Mtu anaweza kuwa na qualification zote lakini kumbe hutumia vibaya mfano huandika lugha mbaya, hutuma picha zisizo na hekima, hii humwonyesha mwajiri wewe ni mtu wa aina gani ne ya azi. Je ni nani aliye tayari kufanya kai na mtu wa namna hiyo? yupo mtu aliyewahi kufukuzwa kazi kabla hajaianza kisa tu aliandika status hii kwenye account yake ya facebook nanukuu " and tommorrow am going to start that F**ng job" kesho yake anafika kazini siku ya kwanza anakutana na termination letter. Hivyo kuwa makini.
 
Nimetuma maombi kama mara 2 ivi kwenye kampuni yenu ila sijawahi pata majibu mpaka leo
Karibu Je kwa maombi uliyotuma umeangalia vigezo vinavyohitajika?
Kila aombaye kazi kwetu akiwa na vigezo vinavyohitajika huitwa kuja Interview. Tafadhali karibu tena na usisite kuapply ikiwa umefikisha vigezo. Kama utaweza kunipa majina yako kamili ili niweze kuangalia profile yako tujue namna ya kukusaidia. Au wasiliana na nasi kupitia 0758 961 961
 
Mkuu safi sana.
 
Kuna wale wengine mwisho wa siku unaambiwa uende kwenye usaili lakin kabla ya usaili unatakiwa kutuma pesa ya kusajiliwa
Habari, usiwe na wasi wasi CVPeople haitokuchaji chochote wewe unayeomba kazi. Hizi ni gharama za consultancy ambazo zinalipwa na mwajiri wako na sio wewe. Epuka utapeli wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom