Nadhani ni kulingana na vituko vya tanzania kwa sasa kuwa nchi a miujiza duniani, ila wasijaribu kuiweka ya kamanda wa anga baba rizi maana hiyo ningependekeza waichane kabisa sio kuiondoa kwa utaratibu
nahuzunika sana pindi ninapogundua kuwa ccm inamiliki idadi kubwa ya wajinga waliokubali kuweka silaha muhimu ya kufikiri chini na kukubali kutawaliwa na wale wenye uwezo wa kufikiri, ukiwa kama mwana ccm jitahidi uisome sera na ilani ya chama chako na uielewe, na pia ukiwa mwana chadema, cuf na...
Nafurahi sana kusikia taarifa kama hizi, nafurahi pia kujua mawazo ya mjinga, nafurahi zaidi kujua mawazo ya viongozi wajinga, pia namshukuru mungu kuniweka HAI mpaka sasa baada ya mapito mazito na hujuma pamoja na siasa chafu zinazoongozwa na viongozi wajinga wa chama tawala ndani ya wilaya ya...
Sidhani kama kuna haja ya kubadilisha alama hizi maana muda sio mrefu bendera yenye alama hizi hutokaa ukaiona tena labda ubahatike kwenda makumbusho ya taifa
Leo ninapenda ni kiri hadharani ndugu zangu ,mwigulu nchemba hana akili timamu kupewa uongozi wa hicho chama cha wauza unga, wezi, matapeli na mafisadi kweli wamechemka kumhagua kama jimbo langu lilivyo chemka kumchagua fisadi lowassa
Hatutahitaji mamluki kwenye m4c japo wakijipendekeza kutuunga mkono tutashukuru japo kwa masharti ya kutokuingilia muundo wa chama chetu wala kuhitaji uongozi,ila nitafurahi zaidi ccm wakimchagua lowassa kuwa mgombea wao maana kwetu ni ushindi kupambana na mgonjwa na fisadi kama huyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.