Recent content by pri

  1. pri

    JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Usimpangie mtu-sasa hivi ndio kaona Kuna uhuni
  2. pri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC kwa Umafia mliowafanyia Wydad Casablanca FC Jumamosi watatafutana kwa Mkapa

    Mwandiko wa popoma kabadili sauti TU![emoji2][emoji2]
  3. pri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

    Kwani huyo Eddo ni nani katika Dunia hii?anagawa hewa tunayovuta?aache ramli zilizomshinda kuipigia timu anayoipenda Arsenal kuwa watakuwa mabingwa wa kuongoza ligi....awaulize wenzake waliosema Simba underdog
  4. pri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Mwekezaji Mo Dewji mambo madogo madogo yanayotuaibisha kama haya yawe Historia Klabuni Kwetu

    Bila kusahau JINA walilozaliwa nalo "Mbelemwikonyumamwiko daima"
  5. pri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

    Sababu ambayo wengi hawajataja ni kuwa pale Utopoloni wenye mbongo ni wawili tu,wengine ziiiiiiiiiiiii!
  6. pri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

    Ukiwasikia Sasa,eti imekamilika Kila idara!Jana Mzamiru mmoja kawaziba viungo wooote wa UTO,ni basi tu,Simba huingia huku imeidharau Yanga ndio maana Huwa wanapata matokeo
  7. pri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba atafungwa na Yanga Jumapili

    Huwa nashangaa sana watu hasa wale mashabiki wa UTO kuropoka na kubwata kuwa Simba ni mbovu!hii si kweli, kwasababu ukiangalia kwa vigezo vyote mwishoni unaona Simba SC kwa Afrika Mashariki ndio timu Bora,lakini kwanini hujiweka kwenye maneno Simba ni mbovu,Moja ni kupata matokeo waliyokuwa...
  8. pri

    JamiiForums Tanzania Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Huna hoja!
  9. pri

    JamiiForums Tanzania Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Hicho ndio unachoweza kujibu!HAKUKUWA na uislamu kabla Mo kuwepo,kwasababu hamna ushahidi wowote kwenye Kolowani basi ukipenda Quran maana Mo aliwafunga akili kwenye uarabu, wala hata mkijibana kwenye kutumia vitabu vya Dini nyingine Hakuna.
  10. pri

    JamiiForums Tanzania Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Aaaaah!kule umelala mbele baada ya kushindwa kujibu maswali, haya tumia hata Kuran ukishindwa tumia Kolowani ili ulete majibu
  11. pri

    JamiiForums Tanzania Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Weka ushahidi wa andiko la kolowani!ACHA maneno yako yasiyo na ushahidi
  12. pri

    JamiiForums Tanzania Nashauri uanzishwe mtandao wa simu wa kupiga na kupokea tu pamoja na sms. Watapiga hela mpaka wazikimbie

    Dunia hairudi nyuma!zama zimepita hizo
  13. pri

    JamiiForums Tanzania Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Aiseeeh!huko TEKU vipi?field yako ya ualimu mwaka 2 mmeshatoka ama unaandaa maandalio?
  14. pri

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna kiongozi mmoja idara ya Elimu Sekondari halmashauri Masasi DC hana utu

    Vipi huko TEKU,Bado uko field na maandalio yako?,usisahau zana za kufundishia-mwalimu wa sayansi kimu
Back
Top Bottom