Recent content by PrettyGirl

  1. P

    JamiiForums Tanzania Pamoja na uzuri wake, Maumbile ya mpenzi wangu yananichosha mwili na roho!

    mmmh hujajua bado mapenzi,,,,kina mautamu yake uliza wakwambie,,,,ndo maana wengine wanavivuta tangu wakiwa wadogo,,,,
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alimnyima lift Ufoo Saro! Unaichukuliaje hali hii?

    alikuwa sahihi! Wakati mwingine wema uponza!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

    mmh wewe ndio mwenye uamuzi wa kuvunja ndoa yako ama lah! Ila pole maana umetumbukia pabaya!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    mmmh uoni haya hata kidogo! Nn maana ya ndoa? Kwann umeshindwa kumvumilia mwenzio? Na je ingekuwa ww ndo uko hivyo? Na yy angetafuta houseboy ungefurahi? Acha uroho umemfedhehesha sana mkeo kwa kutembea na housegirl! Bora ungetafuta hata kahaba k la huko nje lkn si ndani humo humo! Sasa anakwita...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    moyo wangu unalia kilio cha ndani! Ninamachungu na majeraha sijui kama yatakuja kupona! Matatizo uliyoyapata yananikumbusha mbali sana! Mshukuru Mungu kwa kuwa hujaingia ktk ndoa na huyo mwanaume! ila mm mwenzio niko nayo na sijui nikuelezee vip............. Mungu atafuta machungu yako yote!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Housegirl mpya akadai nimpe chake kabla hajaharibu…..!

    duh aibu na fedheha! Mmmh
  7. P

    JamiiForums Tanzania Geita kimenuka: Pinda asusiwa kikao!

    hayo unayoongea una uhakika nayo? Inchi inaongozwa na nani sasa hivi? Fikiri kabla ya kuzungumza!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Geita kimenuka: Pinda asusiwa kikao!

    Mungu aingilie kati hili swala jamani maana tunapoelekea, mmmmh ni kwa neema tu!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    Mungu aingilie kati hili swala jamani!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumkamata anaye-cheat kwa kutumia simu...

    duh hii nimeipenda! Vip kwa hizi smartphone( blackberry n Nokia E 63)
Back
Top Bottom